Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhhaàhhhaaaaa!!duh..kazi kweli kweli jamani!!mjini sihami bora nikae huku mbali na mji!Yani anachukiwa mpaka watu wanashangilia eti wanapanga Mange divorce party hahahaa.
Sasa kuna siku alisema hakuna mtanzania anaeishi marekani anaweza kununua nyumba Kama yake, sasa nikawa nasubiri niione hilo lijumba la kifahari hahahaaaa yani alitakiwa kusema hakuna mtanzania anaishia kwenye nyumba mbaya Kama yake marekani nzima, nyumba yenyewe haionekani ni nje tuu na nje kwenyewe ufa umepasuka pasuka kuliko nyumba aloicheka ya mamake Lemutuz! Demu mshamba Sana mie nilikuwa nasubiri aonyeshekicho kinyumba cha mkopo ndio nimwambie nani na nani wana majumba na wako kimya.
Nyani Ngaburadhit: 16631736 said:
Ha ha haha mansion za Culver City jamanii niache niishi zangu Texas tu.
Huwa si-comment sana kwenye ukumbi huu ingawa huwa ninausoma hapa na pale; hata hivyo itabidi nikoment kidogo kuhusu huyu mama. Aliwahi kuandika mambo mengi sana kuhusu maisha yake marekani kama vile wabongo wengine waliotangulia huku hawajui kitu. Aliandika kuwa watoto wake wanasoma shule ambazo wao tu ndio weusi- kama hiyo ni sifa, bila kujua kuwa kuwa wabongo wanaofundisha vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wote kwenye darasa ni weupe. Halafu akawa anafuatilia personal lives za watanzania fulani pale Atlanta na kuyaanika mtandanoni mpaka ikafikia kuudhi kupita kiasi. Leo hii anapoonyesha nyumba yake ya ya vyumba vitatu na bathroom moja ni dhahiri kuwa hayajui maisha ya kimarekani ila anayarukia tu. Mtu mwenye familia iliyokamilika hawezi kuishi kwenye nyumba hiyo kwa sababu hawezi kuchangia choo na watoto. Driveway yenyewe ni nyufa utadhani imepigwa mabomu; huenda hiyo siyo nyumba yake. Neighborhood yenyewe inaonekana kama zile za welfare. Nadhani kosa lake kubwa sana limekuwa ni lile la kujitangaza kwa upuuzi. Angekaa kimya kama wengine huenda hakuna ambaye angekuwa na interest za kujua maisha yake yakoje.Then akaja akadai nyumba yake ni zaidi ya million dollars akapost hii View attachment 359851
Huwa si-comment sana kwenye ukumbi huu ingawa huwa ninausoma hapa na pale; hata hivyo itabidi nikoment kidogo kuhusu huyu mama. Aliwahi kuandika mambo mengi sana kuhusu maisha yake marekani kama vile wabongo wengine waliotangulia huku hawajui kitu. Aliandika kuwa watoto wake wanasoma shule ambazo wao tu ndio weusi- kama hiyo ni sifa, bila kujua kuwa kuwa wabongo wanaofundisha vyuo vikuu ambavyo wanafunzi wote kwenye darasa ni weupe. Halafu akawa anafuatilia personal lives za watanzania fulani pale Atlanta na kuyaanika mtandanoni mpaka ikafikia kuudhi kupita kiasi. Leo hii anapoonyesha nyumba yake ya ya vyumba vitatu na bathroom moja ni dhahiri kuwa hayajui maisha ya kimarekani ila anayarukia tu. Mtu mwenye familia iliyokamilika hawezi kuishi kwenye nyumba hiyo kwa sababu hawezi kuchangia choo na watoto. Driveway yenyewe ni nyufa utadhani imepigwa mabomu; huenda hiyo siyo nyumba yake. Neighborhood yenyewe inaonekana kama zile za welfare. Nadhani kosa lake kubwa sana limekuwa ni lile la kujitangaza kwa upuuzi. Angekaa kimya kama wengine huenda hakuna ambaye angekuwa na interest za kujua maisha yake yakoje.
Tatizo la huyu dada jamani ukikorofishana nae wewe anaichamba familia yenu yooote habakizi mtu mpaka wafuuuu anawafufua na kuwachamba mpaka majirani ikimbidiSibiri aje mwenyewe mbona utamkimbia
Huyu dada katumia nguvu nyingi sana kujitafutia maadui tena wakubwa wakubwa, asipoangaliwa kwa karibu anaweza kujimurder, na kama ni kweli kaachwa tena, hali yake lazima iwe mbayaLoh hivi ni kweli kaachwa? Mi nlijua ni maneno tu ya wabaya wake. Na kuhusu huzuni ya leo sio lazima iwe ni kwaajili hiyo...yapo mengi mtu anayapitia inawezekana ni jambo jingine kabisaa
Hahahahaaaa nifah acha kumchamba mwenzako, leo ndio nimeamini kuwa huyu mtu kaachwa baada ya kukiri kwa mwandiko wake, lakini kasema ameshapata kibabu chake cha kumuweka mjini hivyo mnaomsubiri arudi bongo tafuteni vigoda mkae. Anahasira huyoooo!Hahahahaaa Mange kafuta ile picha anayolia jamani!
Nani alikuambia upost?
Si umesema sio vibaya kushare huzuni zako kama unavyoshare ukiwa na furaha?
Wambea tulishanyaka screenshots zamaaaaani,pole!
Stress zitakuua mama,rudi nyumbani tu.
![]()