Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

kp kakublock kwa nini?
mimi huwa sicomment maana mange ataniblock mimi mtazamaji tu huku na kule
Mimi siku KP akirusha bomu la Hiroshima huwa nalog in kwa fekero nachekeleaje?
Tena huwa nachati na KP DM sana kwa hilo fekero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Mwenzangu kucomment kwa a/c yako ya ukweli ni kujitafutia mabalaa tu.
 
mimi humu kwenye mitandao ni mifekero tupu hata whatsup linamba langu ni fekero
nina simu mbili
ya ukweli kuna wazazi ndugu na watu wa ofsini basi
wengine wooote wanakula fekero
 
Mzungu kapata kazi tena Dubai anaenda kufaidi mzimbabwe pole yake mange tungekoma na mashauzi ya dubai kama kipindi kile
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miss sikuweziiiiii!

Umenifundisha kitu,sijui niwe na namba 2 za WhatsApp na mimi?
Hiyo 1 niifanye ni ya umbea tu.

Nyingine (hii ya sasa) ndio ya watu wa umuhimu kama family n.k
Ngoja nitafakari.
 
Mwenzangu tungekomaje?Jamani kipindi cha Lance mahaba yalivyokuwa motomoto ilikuwa balaa.

Kila siku lunch/dinner mahotelini.
Mapicha ndio usisemeeeee.
Hosp aliyojifungulia Keanu ndiyo aliyojifungulia Kim Kardashian uwiiiiii!
 
yaani mimi mpaka nimemuonea mange huruma yaani
Huruma ya nini wakati mwenzio anatamba anae Mr. Rolex?
Heheheee
Nashangaa maisha yake hayabadiliki huyo bilionea sijui bilionea gani!
 
yaani mimi mpaka nimemuonea mange huruma yaani
Kachanganyikiwa yule bibi anajifanya kapata danga la kizungu ameambiwa aishi kimadame kuanzia mwezi huu asipost maumbea ngoja tuone kama ataweza kutuektia
 
Mwenzangu tungekomaje?Jamani kipindi cha Lance mahaba yalivyokuwa motomoto ilikuwa balaa.

Kila siku lunch/dinner mahotelini.
Mapicha ndio usisemeeeee.
Hosp aliyojifungulia Keanu ndiyo aliyojifungulia Kim Kardashian uwiiiiii!
Na Lv Nifah umesahau [emoji23] [emoji23]
 
Uwiiiiii na LV pembeni [emoji23][emoji23][emoji23]

LV akajidai ataigawa hadi leo anazunguka nayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kachanganyikiwa yule bibi anajifanya kapata danga la kizungu ameambiwa aishi kimadame kuanzia mwezi huu asipost maumbea ngoja tuone kama ataweza kutuektia
Mimi nasubiria bomu la Hiroshima kesho,umesahau KP alisema nini kuhusu 3rd Sept?

Wenye roho nyepesi wameaswa wanunue pampas kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwiiiiii na LV pembeni [emoji23][emoji23][emoji23]

LV akajidai ataigawa hadi leo anazunguka nayo [emoji23][emoji23][emoji23]
ile lv alisema kainunua million 25 za kibongo ilikuwa mwaka 2012 au 2011
si angenunua nyumba bongo aishi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Miss sikuweziiiiii!

Umenifundisha kitu,sijui niwe na namba 2 za WhatsApp na mimi?
Hiyo 1 niifanye ni ya umbea tu.

Nyingine (hii ya sasa) ndio ya watu wa umuhimu kama family n.k
Ngoja nitafakari.
unajua whatsup saa zingine unakuwa upo kwenye magroup ya kipuuzi watu wanakupigia simu ovyo
 
ile lv alisema kainunua million 25 za kibongo ilikuwa mwaka 2012 au 2011
si angenunua nyumba bongo aishi?
Uwiiiiiii jamani jamani!
Million 25 kununua handbag?
Jamani Mange ana kufuru nyie?
Mimi nikinunua handbag zaidi ya 50,000 roho inaumaje?
 
Mimi nasubiria bomu la Hiroshima kesho,umesahau KP alisema nini kuhusu 3rd Sept?

Wenye roho nyepesi wameaswa wanunue pampas kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubilie kwakweli hilo bomu ila me sa nyngne namuonea huruma KP akianza kushusha mashambulizi yake ila mange kapata kiboko yake
 
Mwenzangu tungekomaje?Jamani kipindi cha Lance mahaba yalivyokuwa motomoto ilikuwa balaa.

Kila siku lunch/dinner mahotelini.
Mapicha ndio usisemeeeee.
Hosp aliyojifungulia Keanu ndiyo aliyojifungulia Kim Kardashian uwiiiiii!
kamuachia mzungu madeni mpaka mvunguni? mange jamani si angejifungulia tu nyumbani jamani? eti millioni 16 ? hivi ni mzima kweli unaenda kujifungua kwa bill hyo ?
 
Back
Top Bottom