Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Haahaaa shoga nilikuwa nakufuatilia tu kama umeaga kweli, umbea mtamu jamani mie nimejaza nyama maji tele ili isiungue leo wala siwazi habari ya ladha, looh! maskini msosi wa leo naona kama vile nieshaharibu kabla hata sijaivisha.
Mtajaachika mkiolewa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi itabidi niwaage wambea wenzangu.
Umbea nitakuwa napiga kwa kipimo.
Haki mmenichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
ahahaaa yaani asubuhi niliweka maji jikoni nikasema nisome kp hadi yakaisha yote kidogo sufuria liungue nilitaka kupika uji
 
Nifah, lile jino la bandia lilimuharibu mtoto au vipi mbona kenzo jino limegoma kuota? Maskini lance anajuta siku aliyotoka nje akakutana na mange.. model pengo limekuwa la kudumu?!
Hivi kweli jamani![emoji134][emoji134][emoji134] jino si liling'oka Keanu akiwa kichanga?Hadi Leo hii takribani miaka miwili.

Halafu Mange anapenda kuanika mambo jamani sijapata ona.
Unakumbuka alituwekea jino lake Insta?
Halafu kuna siku alisema Kenzo analilia jino lake sijui ana gundu alitupa jino lake halioti tena [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtajaachika mkiolewa jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi itabidi niwaage wambea wenzangu.
Umbea nitakuwa napiga kwa kipimo.
Haki mmenichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu, hapa ukisemeshwa wala juhangii mada, sasa bae awe na yeye kwenye ishu yake halafu yeye akiwa na ishu zake kwenye simu mtu unanuna, mhh ubinafsi sasa basi kila mtu na umbea wake.
 
Hivi kweli jamani![emoji134][emoji134][emoji134] jino si liling'oka Keanu akiwa kichanga?Hadi Leo hii takribani miaka miwili.

Halafu Mange anapenda kuanika mambo jamani sijapata ona.
Unakumbuka alituwekea jino lake Insta?
Halafu kuna siku alisema Kenzo analilia jino lake sijui ana gundu alitupa jino lake halioti tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Haaaha, kweli mange ana gundu, bora Bokhe meno yake aling'olea kwa bibi mama frank angekuwa mapengo mpaka leo.
 
Mange kiboko alitangaza sana biashara ya madildo na mawaziri wake wakayaagiza kwa fujo kweli sijui aliwaloga mwenyewe alikuwa anayaita nake massage, . haa mpare kiboko mchafu si wa chupi tu mpaka li dildo anachomeka na kuchomoa na kuliacha chafu?! mweee watu wafundwe jamani mpyuuu, .
Enzi za neck massage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti msijali sitoandika jina la bidhaa,nitaandika neck massage.
Hao wanakoenda kuchukua hawasomi kwenye blog yake?
Kujitia aibu tu.
Ningekuwa mimi ndio misukule yake ningeenda kuchukua hiyo neck massage na bonge la niqab [emoji23][emoji23][emoji23].

Ila jamani kumiliki kile kitu ni kujitakia pressure tu,dunia haina siri.
Mara siku umeumwa hoi watu wanakuja kukupeleka hosp wakati wanatoa nguo kabatini kukuvisha hiloooo.
Lahaulaaa unaweza kupona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh huyo dada mcheza mieleka toka mange alivyosambaza video yake ya ngono naonaga wanaompa kiki nao akili kichwani hawanaga!
Mbona ya Zari ilisambaa na maisha yanaendelea?
Na kila leo anapewa kick?Wanaompa hawana akili?

Nakukubali mkuu lakini hapa umeteleza.
 
Enzi za neck massage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti msijali sitoandika jina la bidhaa,nitaandika neck massage.
Hao wanakoenda kuchukua hawasomi kwenye blog yake?
Kujitia aibu tu.
Ningekuwa mimi ndio misukule yake ningeenda kuchukua hiyo neck massage na bonge la niqab [emoji23][emoji23][emoji23].

Ila jamani kumiliki kile kitu ni kujitakia pressure tu,dunia haina siri.
Mara siku umeumwa hoi watu wanakuja kukupeleka hosp wakati wanatoa nguo kabatini kukuvisha hiloooo.
Lahaulaaa unaweza kupona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]
Afadhali aibu ya kukutwa na dildo kuliko UKIMWI mkuu.
 
Acha tu, hapa ukisemeshwa wala juhangii mada, sasa bae awe na yeye kwenye ishu yake halafu yeye akiwa na ishu zake kwenye simu mtu unanuna, mhh ubinafsi sasa basi kila mtu na umbea wake.
Hakuna kitu sipendi kama niwe na bae awe busy na simu.
Jamani simu huwa zinawekwa pembeniiiiii.
Hata nikitoka out huwa najitahidi sana kukontrol matumizi ya simu.
It's kinda boring.
 
Enzi za neck massage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti msijali sitoandika jina la bidhaa,nitaandika neck massage.
Hao wanakoenda kuchukua hawasomi kwenye blog yake?
Kujitia aibu tu.
Ningekuwa mimi ndio misukule yake ningeenda kuchukua hiyo neck massage na bonge la niqab [emoji23][emoji23][emoji23].
akuja kukupeleka hosp wakati wanatoa nguo kabatini kukuvisha hiloooo.
Lahaulaaa unaweza kupona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]
ahahaa naskia linapiga katerero ya hatare
ila kisimi kitakuwa kimechoka vibaya kimekuwa kama karatasi
 
1473000590487.png
 
Hakuna kitu sipendi kama niwe na bae awe busy na simu.
Jamani simu huwa zinawekwa pembeniiiiii.
Hata nikitoka out huwa najitahidi sana kukontrol matumizi ya simu.
It's kinda boring.
inakera balaa, ila kwa umbea huu leo nimejifunza siku akicheka na simu, nitajitahidi nisinune nitaenda hata nje kurusha mawe hasira ziishe..
 
Enzi za neck massage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti msijali sitoandika jina la bidhaa,nitaandika neck massage.
Hao wanakoenda kuchukua hawasomi kwenye blog yake?
Kujitia aibu tu.
Ningekuwa mimi ndio misukule yake ningeenda kuchukua hiyo neck massage na bonge la niqab [emoji23][emoji23][emoji23].

Ila jamani kumiliki kile kitu ni kujitakia pressure tu,dunia haina siri.
Mara siku umeumwa hoi watu wanakuja kukupeleka hosp wakati wanatoa nguo kabatini kukuvisha hiloooo.
Lahaulaaa unaweza kupona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah bana eti unapona gafla, umenichekesha sana, mie si kulimiliki tu hata kulishika sitaki.
 
Back
Top Bottom