Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
- Thread starter
- #1,481
Chanzo kikuu ni ile e-mail aliyomtumia shost ake Mwamvita shoga,ile ndio iliharibu kila kitu.hivi kwanini mange aliachana na lance yamesemwa mengi ila sijui tatizo ni lipi haswa
Akabeba na mimba ya Keanu kumshika Lance lakini wapi!
Subiri huenda Sky Eclat bado anayo atakuwekea hapa kama hukuwahi kuiona.