Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hahahahaaa Mange kafuta ile picha anayolia jamani!
Nani alikuambia upost?
Si umesema sio vibaya kushare huzuni zako kama unavyoshare ukiwa na furaha?
Wambea tulishanyaka screenshots zamaaaaani,pole!
Stress zitakuua mama,rudi nyumbani tu.
2ade5ce25f5d86cc0eb627ad9b6b64c5.jpg
Atarudije huku IGP anamngoja kwa hamu na katangaza siku zake zinahesabika mkuu!
 
Na bado utalia sana. Hakuna jinsi baada ya kunyang'anywa watoto lazima uweke wazi kujiuza kwako la siyo utaokotwa umekufa kwa njaa
Hawezi kufa njaa siku hizi kapata majuha yanamtumia kumtukana mkuu na yanamlipa na pia kawa kada mzuri tu wa chadema na wanamlipa vizuri na pia kuna majuha wanamchangia pesa za kulea watoto...
 
Alivyokuwa anamtukana Lowassa kipindi cha kampeni mlikuwa mnamlipa shilingi ngapi? Msijisahaulishe.
 
Mi namkubali Le mutuz tu anasemaga ukweli kakaa mbele miaka 30 lakini maisha aliyokua anaishi kule na hapa home ni tofauti hapa kama yupo Ulaya alichoka maisha ya kuigiza hotel anayokula hapa huko Marekani hawezi kuingia wabongo wengi wana maisha ya kuunga unga huko mbele ila wanaona aibu kurudi maana hawana lolote.
Ndo alikojifunzia mambo yetu yalee[emoji23] [emoji23]
 
Jamani wewe iba, tukana, fanya ujinga wowote ukihamia chadem unasafishwa na dodoki!! Hahahaha alivyotukanwa mara malaya blaaa blaaa sasa ni Jembe

''Tumeona new faces ,na old faces zilizorudi ni watu wanaopiga kazi kweli kweki kama Magufuli,Mwakyembe,Nyalandu etc.

Unajua Tanzania ni nchi yenye potential sana.At the moment kuna matatizo kidogo ya utendaji kwenye uongozi mzima wa nchi na watu wenye uchu wa madaraka kama CHADEMA wanatumia matatizo tuliyonayo sasa hivi kuwadanganya wananchi kwamba CHADEMA ndio suluhisho.

Watanzania nina hili la kuwaambia siku mtakayo wakabidhi CHADEMA nchi yetu,labda mtakuwa na umeme kwenye majumba yenu,ila pia tutakuwa tunalala tukisikia sauti za mitutu ya bunduki next door.

Kwanini wewe kama mtanzania unayelalamika kuwa CCM hawaiongozi nchi vizuri kwanini wewe usiende kugombea ubunge huko CCM,au nyadhifa yoyote serikalini ili ubadilishe mambo? Mbona kuna vijana wengi mwaka jana wamegombea na wameingia mjengoni,kama January Makamba. Kuliko kukaa na kulaumu jiulize na wewe unaifanyia nini nchi yako,CHADEMA,NCCR MAGEUZI,CUF na upinzani mwingine wowote sio solution.Solution ni sisi wenyewe na sio kukabidhi nchi yetu watu wasio na experience, au chama kichanga kilichojaa wauza sura. BE WARNED MTANZANIA.
''
hii ni sehemu ya interview aliyofanya na blog ya wazalendo25 sometimes back.Ona anachokifanya sasa akiwa kona ya hao hao Chadema!!
 
Unaelewa maana kamili ya demokrisia?
 
Kunywa Kinywaji aisee ntalipa isizidi 30,000.
 
Back
Top Bottom