''Tumeona new faces ,na old faces zilizorudi ni watu wanaopiga kazi kweli kweki kama Magufuli,Mwakyembe,Nyalandu etc.
Unajua Tanzania ni nchi yenye potential sana.At the moment kuna matatizo kidogo ya utendaji kwenye uongozi mzima wa nchi na watu wenye uchu wa madaraka kama CHADEMA wanatumia matatizo tuliyonayo sasa hivi kuwadanganya wananchi kwamba CHADEMA ndio suluhisho.
Watanzania nina hili la kuwaambia siku mtakayo wakabidhi CHADEMA nchi yetu,labda mtakuwa na umeme kwenye majumba yenu,ila pia tutakuwa tunalala tukisikia sauti za mitutu ya bunduki next door.
Kwanini wewe kama mtanzania unayelalamika kuwa CCM hawaiongozi nchi vizuri kwanini wewe usiende kugombea ubunge huko CCM,au nyadhifa yoyote serikalini ili ubadilishe mambo? Mbona kuna vijana wengi mwaka jana wamegombea na wameingia mjengoni,kama January Makamba. Kuliko kukaa na kulaumu jiulize na wewe unaifanyia nini nchi yako,CHADEMA,NCCR MAGEUZI,CUF na upinzani mwingine wowote sio solution.Solution ni sisi wenyewe na sio kukabidhi nchi yetu watu wasio na experience, au chama kichanga kilichojaa wauza sura. BE WARNED MTANZANIA.''
hii ni sehemu ya interview aliyofanya na blog ya wazalendo25 sometimes back.Ona anachokifanya sasa akiwa kona ya hao hao Chadema!!