Katika jamii ya sasa, mijadala kuhusu migogoro ya ndoa na talaka imekuwa ikiongezeka. Wapo wanaoamini kuwa watu wa kizazi cha sasa hawana uvumilivu katika ndoa.
Aidha wengine wanasema kuwa watu sasa wameanza kutambua haki zao na hawataki kubaki kwenye ndoa zenye matatizo.
Je, ndoa za kizazi cha sasa zinavunjika kwa sababu ya kukosekana kwa uvumilivu au kuna sababu nyingine kama changamoto za kiuchumi, mitandao ya kijamii na mabadiliko ya mtazamokuhusu ndoa?