Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Hawana pesa ya kuendesha nchi ni kweli, na sasa UN, WHO, wana haha kweli kuona watawasaidiaje, kwani hali ni mbaya mno karibia 97℅wanaenda kukumbwa na baa la njaa kama misaada haitapelekwa! pesa za serikali zote zilizokuwa nje zimezuiliwa!.
Aliyezizuia ni nani kama si hao hao wanaoliliwa ili wapewe misaada ambayo itaangukia kwenye pesa hiyo hiyo iliyozuiliwa..!
 
Hahahaha jamaa nilikua nawachora tu walipotwaa madaraka nikajisemea lazima wataenda limia meno maana pesa za kujiendesha hawana na ukizingatia miaka yote Mashirika ya misaada ndio iliwaserve angalau Sasa ukiangalia jamaa aliyeshikilia uchumi wa Dunia kakacha Kwa mbio ndefu nani mwingine atawapa sapoti nikajua labda watauza opium haya hao mabeberu wakigoma kuinunua serikali ya Talibani itaanguka sababu ya njaa!
 
Wamepigana miaka 20 waje washindwe jambo dogo hilo, unajua gharama ya vita kwa miaka 20 na wakashinda?
Mbona USA hajaandika kwenye media Taliban wamenishinda?,
 
Mtu anavaa mabomu anaenda kujilipua kwenye uwanja wa ndege kuwakomoa wamerekani.
Hajui anaharibu miundombinu na baadae atajenga kwa gharama kubwa. Hawa watu waabudu mwezi na nyota inatakiwa wapelekwe shule hata kwa lazima.
Libya imekuwa magofu, sudani imekuwa nchi mbili, somalia hivyo hivyo wanajilipua ovyo tu.
Kuna member humu alisema
'Dunia imekuwa salama kwa uwepo wa wakristo'
Chukulia waislam wangekuwa wengi km wakristo unafikiri kungekuwaje? Kila siku watu wangekuwa wanauawa makanisa yangechomwa moto. Kila siku kwenye mahakama ya kadhi watu wengi sana wangekuwa wanahukumiwa kunyongwa.
Fikiria wakristo nao wangekuwa wanamtetea Yesu wao km waislamu? Kila siku kungekuwa kuna mauaji maana misikiti ingechomwa lkn kwa kile Vita vyao vya kiroho huwezi kusikia.
Mbona wewe hujamsifu Yesu Mbowe akatoka?
 
Mbwembwe zooote zile za kujiself mara paaap, chali!.
Hawa wataliban wanachoweza ni kuwasomea aya wanawake na wanaume wasioendana nao kimaudhui, na kwachinja au kuwapiga risasi hadharani basi
 
Marekani mjanja sana amedhtuka kuwa alikuwa anapigana na iran, china na urusi kwa pamoja na amejiondoa ghafla kwenye hiyo vita tuone kama hao mabesti zao watawaambia wachemshe hayo madilaha waliokuwa wanawapa ili wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…