Taliban hawana pesa ya kuendesha Serikali

Week kama 3 zilizopita bibi yangu alinipigia simu nimpeleke akachome chanjo ya COVID-19.. Kwenye stoey zetu akawa anasisitiza kuwa Wazungu ni wajanja sana.. Hakuna njia tunaweza kumkwepa.. Na pia akawa anasisitiza hakuna namna tunaweza kuelewa anachokiwaza na kutekeleza kwa wakati huo.. Mpaka miaka kadhaa ikishapita ndo tutajua ohhh, kumbe wakati ule ndo ilikuwa hivi!!
Huko Afghan, machoni inaonekana tunavyoona; ila ukweli wa mambo utakuwa tofauti kabisa.
US bado yupo sana kule.. Ukute hao Taliban ndo US wenyewe..
 
Shida ya hao watu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
Mtu anavaa mabomu anaenda kujilipua kwenye uwanja wa ndege. Unajua kujenga uwanja wa ndege ni gharama sana?
Watu wanaondoka wanapanda denge lkn bado unaenda kujilipua tu. Ili iweje sasa?
Unafikiri ukilipua shule ambayo ipo nchi kwako kuna wamerekani 5 wamejificha humo. Unafikiri unawakomoa wao?
Wazungu miji yao wanaijenga ili iwe km Paradise (Angalia New york city) lkn ndugu zao na Muhamad miji yao wanaifanya kuwa magofu. Angalia Libya
Kulikuwa kuna haja gani Ghadafi kupigana?
Wamepigana miaka 20 waje washindwe jambo dogo hilo, unajua gharama ya vita kwa miaka 20 na wakashinda?
Mbona USA hajaandika kwenye media Taliban wamenishinda?,
 
Hawana pesa ya kuendesha nchi ni kweli, na sasa UN, WHO, wana haha kweli kuona watawasaidiaje, kwani hali ni mbaya mno karibia 97℅wanaenda kukumbwa na baa la njaa kama misaada haitapelekwa!!pesa za serikali zote zilizokuwa nje zimezuiliwa!!!
Na hakuna serikali ya kupewa hizo pesa kwa sasa, kumeingia machinjachinja tu, ikibidi hata risasi na mabomu yakiisha wasiruhusiwe hata kununua tena
 
Cheni upumbavu mtu anaemhofu Mungu hawezi pigania madaraka ya nchi wenye uchu wa mali za Dunia ndo waharibifu.

Mumeweka udini mbele sana nyinyi watu wakiwajibu mnalukaluka dunia nzima ijue
 
Cheni upumbavu mtu anaemhofu Mungu hawezi pigania madaraka ya nchi wenye uchu wa mali za Dunia ndo waharibifu.

Mumeweka udini mbele sana nyinyi watu wakiwajibu mnalukaluka dunia nzima ijue
uongo upi? kwamba mujahidina hawajilipui, hawachinji watu kwa kumpigania Allah ??
 
Hawana pesa ya kuendesha nchi ni kweli, na sasa UN, WHO, wana haha kweli kuona watawasaidiaje, kwani hali ni mbaya mno karibia 97℅wanaenda kukumbwa na baa la njaa kama misaada haitapelekwa!!pesa za serikali zote zilizokuwa nje zimezuiliwa!!!
Kumbe fedha wanazo lakini kuna wajamaa fulani wamezizuia!!!!!
 
Usiseme ndugu za Muhamad, we Africa kilichotokea Rwanda utasemaje?...
Unafahamu Native American genocide au ulikwisha soma, by death toll hio ndio inaongoza duniani mpaka leo, 1400's-1920's... watu 100 million waliuawa...
ilitokea kwa hao unawaita wenye akili , British, Canada na British Empre...
 
Hao ndugu eti kwa mawazo yao hapa wanapita tu na kwamba kuna pepo ambayo watakuta mito ya pombe, asali, maziwa na mademu 72 wakaliii! na kwamba eti huko ndio wataishi milele na sijui wanawake wao nao watapata ma six pack 72? Mambo mengine ya hii dini yameandikwa kimwili zaidi kuliko uhalisia, kwanza wanapoiharibu hii dunia tuliomo, wanauhakika gani kwamba hapa sio peponi? huenda tulishaga kufa zamani na hapa sasa ndio peponi unapaharibu kwa kungojea nchi ya kusadikika? kama hawataki mambo ya kimagharibi sasa wanaendesha vifaru, na kutumia ak 47 na mabomu ya nini? na kwa nini kama kweli wanafuata sunna za Mtume, yeye alipanda farasi na punda, vitani alienda na mapanga na mikuki na kombeo, iweje wao wapande magari, ndege, vifaru, watumie bunduki!! Hebu waache watu waishi kistaarabu wawe na choice zao za kiimani na wasiwakatishie uhai watu kwa kisingizio cha kumpigania Allah, yeye mwenyewe ana uwezo mkubwa wa Kujipigania.
 


Wakati mwingine muwe mnatumia vichwa vyenu unapost gazeti lilojaa hadithi za esopo hata we ujiulizi mwamerika kapigana na Talabani miaka 20 huyu Talaban mpaka America imenyoosha mikono juu na kuomba amani miaka yote hiyo Talaban alipata wapi pesa za kugharimia vita na mambo mengine ya kijamii?
 
Cheni upumbavu mtu anaemhofu Mungu hawezi pigania madaraka ya nchi wenye uchu wa mali za Dunia ndo waharibifu.

Mumeweka udini mbele sana nyinyi watu wakiwajibu mnalukaluka dunia nzima ijue
Inategemea Mungu Gani unamuongelea...Kuna Mungu mmoja anapenda madaraka kinoma hata mtume wake alikuwa war monger...Aliua maelfu ya watu ili asimike Dola yake
 
Inategemea Mungu Gani unamuongelea...Kuna Mungu mmoja anapenda madaraka kinoma hata mtume wake alikuwa war monger...Aliua maelfu ya watu ili asimike Dola yake
Ndiyo wale Crusaders tunaowasoma kwenye historia? Si ndiyo walikuwa wanapita miji mingi ya Europe mpaka Uarabuni kuua na kuteketeza watu?

Lakini kwa karibuni tu hata akina Hitler, Mussolini na Stalin sijui walitumwa na mtume gani kuua watu ili wasimike dola zao.
 
Sasa wewe unaongelea mambo ya 1800s yalishatokea Sisi hatuwezi kuyabadilisha Na inawezekana wahusika wanajuta Na kujiona walikuwa wajinga



Sisi hapa tunaongelea yanayotokea Na yatakayoendelea kutokea.kwa sababu ya ideology Za kijinga zilizopitwa Na wakati
 
uongo upi? kwamba mujahidina hawajilipui, hawachinji watu kwa kumpigania Allah ??
Mpaka uue ni kama umezuiwa kumuabudu Mola wako.sasa hao wanao jiita hivyo wamefanyiwa uwaduigani?
Uroho wa Dunia tu
Ukitumia kichwa chako vizuri utagundua hao wafia dini ni watu wasio jiweza wanapambana ili waishi silaha watoa wapi?
 
Hao Crusaders walikuwa wanafata mfano wa mtume wao yupi?
 
Hampendi kuambiwa ukweli,kama unaumia chomoa

Wewe hata kama ni kafiri lakini usibezi upande mmoja,,, unajuwa fiika ni propaganda za mabeberu, unajuwa fiika marekani ndiye sababu yakuvuruga amani nchi za kiisilamu,,,,,, lakini mnajitoa ufahamu, na chuki imewajaa moyoni mnatamani waisilamu kote duniani waangamizwe mubaki ninyi tu,,,,hilo musahau 😁😁😁😁


Kuna baadhi ya wakristo wanajitambua, nawanachukizwa na vitendo vya westerns + Israel dhid ya islamic state na baadhi yanchi za kiafrika. Wabarikiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…