Taliban na Iran wapigana

Taliban na Iran wapigana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi.

The Afghan government says one its officers was killed in Sunday's fighting, which occurred in the border area between Afghanistan's Nimroz province and Iran's Hirmand region.

Each country blamed the other for the incident.

There have been several clashes at the border since Taliban militants took over Afghanistan a year ago.

Iran has not recognised the Taliban government in Kabul. The exact circumstances of the latest skirmish are unclear.

"We have one killed and one wounded," Nimroz police spokesman Bahram Haqmal told Reuters news agency.

In Iran's Sistan va Baluchestan province, Hirmand official Maysam Barazandeh was quoted by Fars news agency as saying there had been no casualties on the Iranian side.

Iran's Tasnim news agency said the fighting broke out after Taliban forces tried to raise their flag "in an area which is not Afghan territory", leading to an exchange of gunfire lasting "several minutes".

"Our forces gave the necessary response," Mr Barazandeh said.

Last month Iran's foreign ministry reported the death of an Iranian border guard following another incident in the same area.

Source: MSN
 
The Afghan government ..... Nimeishia hapo [emoji23][emoji23][emoji23] asubuhi njema
 
Mbwa kala mbwa, sasa hapa sijui mtashabikia yupi nyie jamaa zetu humu, maana hawa wote ni wenu, kwa sasa pumzikeni kushabikia Urusi...
Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja

Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
 
Wote wale wale wanatumia kitabu kimoja kulipuana.....
 
Iran's Tasnim news agency said the fighting broke out after Taliban forces tried to raise their flag "in an area which is not Afghan territory",
Kama hii ni kweli, basi Taliban ndo watakuwa wachokozi
 
NANI KAKWAMBIA UISLAAM UNAWAUNGA MKONO YEYOTE KATI YAO... WAACHE WAPIGANE... SISI WAISLAAM HAWATUHUSU... ILA WATAJUANA NA WANASIASA WENZAO...

ACHA CHUKI NA UOGA DHIDI YA UISLAAM..

Wakitafunana na kulipukiana mnawakana, ila wakijilipua kwa mnaopenda kuita "makafir" mnawashabikia, ni wenu hao nendeni nao hivyo hivyo nyakati zote.
 
Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja

Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
Iran ni mashia na itakadi za kishia zinajulikana, talban ni alhlul sunna wal jamaaa ni vitu viwili tofauti like usabato na ukatoliki mbona easy tu kuelewa
 
Wote wale wale wanatumia kitabu kimoja kulipuana.....

Hapo mfano wa mbwa kala mbwa si sahihi. Hao uadui wao ni mkubwa vibaya sana kuliko wa Taliban vs US na Israel au wa ISIS vs US na Israel.

Kitabu kimoja, versions tofauti. Ndio paradox ya hizi dini. Unaweza kuzichukulia kama irrational cults of death.
 
Sisi binadamu ni wachoyo, we need to control wengine ili tunufaike na resources. Sasa huu uchoyo ndo umezaa dini. Kadiri idadi inavyoongezeka ndivyo matawi ya dini yatakavyozaliwa. Ukitaka kuamini futa resources na power kwenye dini esp pesa uone kitakachotokea.
 
Mtakavyo uchukia uislam na propoganda za kila aina, bado utakua na uislam upo sahihi kila nyanja. mnashindwa kujua uislam sio uTalabani wala sio uIran, wala usaudi, uislam ni mfumo wa maisha unao elezwa kwenye kitabu kitakatifu.
 
Back
Top Bottom