Taliban na Iran wapigana

Taliban na Iran wapigana

Wamarekani majiniasi sana, wameona kumpunguza nguvu Iran ni kumpambanisha na Talebani. Na watalebani watamiminiwa misaada mingi sana na nchi za ulaya na marekani, na kitanuka kweli sio mchezo yaani patawaka moto apo mashariki ya mbali
 
Hakuna vita hapo mambo hayo ni ya kawaida mipakani umalizwa kidiplomasia
 
Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja

Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
Kwahiyo wasuni sio waislamu
 
Wakitafunana na kulipukiana mnawakana, ila wakijilipua kwa mnaopenda kuita "makafir" mnawashabikia, ni wenu hao nendeni nao hivyo hivyo nyakati zote.
Nani kawaambia UISLAAM UNAWAUNGA MKONO KUJILIPUA KWAO...? ULIZA UJUE SIO UBISHE...

BAKI NI UJINGA WAKO...
 
Mtakavyo uchukia uislam na propoganda za kila aina, bado utakua na uislam upo sahihi kila nyanja. mnashindwa kujua uislam sio uTalabani wala sio uIran, wala usaudi, uislam ni mfumo wa maisha unao elezwa kwenye kitabu kitakatifu.

Mpigane wenyewe kwa misingi ya kidini kisha mtulaumu sisi eti tunawachukia...
 
Mpigane wenyewe kwa misingi ya kidini kisha mtulaumu sisi eti tunawachukia...
Propaganda hizo kama hamchukii msinge jikita kutukana mnapoambiwa ukweli, wapigane askari wawili mpakani unau laumu mfumo mzima wa kitabu kitakatifu, comment namba 21 inakuhusu unayoyoyakataa. chuki niugonjwa mbaya sana,
 
Huo msamiati wa neno Propaganda mnautumia kuliko neno lingine lolote, hata kule Urusi mnakomuabudu Putin, kila Mrusi akila kibano mnaita propaganda.
 
Irán haijawahi kuunga mkono Taliban, kwanza kiitikadi taliban ni wasunni, Irán inaona kuwaunga mkono kutahamasisha raia yake wachache wa kisunni kuwa na mtazamo wa kitaleban, hiyo ni moja

Pili vikundi vya kisunni vimekuwa vikipiga vita serikali ya Iran, kwahiyo sio suala jipya, kwa wanaofuatilia siasa za nchi hizo
Sasa wavaa kobaz hapa watamshabikia yupi?
 
Iran ni mashia na itakadi za kishia zinajulikana, talban ni alhlul sunna wal jamaaa ni vitu viwili tofauti like usabato na ukatoliki mbona easy tu kuelewa
Pamoja na hayo sijawahi kuona wasabato na wakatoliki wanauwana..ila wavaakobazi ni kuuana tu..nadhani hii dini ya wavaakobazi itakua na shida mahali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mtakavyo uchukia uislam na propoganda za kila aina, bado utakua na uislam upo sahihi kila nyanja. mnashindwa kujua uislam sio uTalabani wala sio uIran, wala usaudi, uislam ni mfumo wa maisha unao elezwa kwenye kitabu kitakatifu.
Hata shetani ana vitabu..mifumo na wafuasi wake..unauhakika hicho unachikiamini na kukisimamia sio cult.

Dini ya kweli huhubiri amani na upendo kwa wote..sio kwa maneno bali kwa vitendo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sasa wavaa kobaz hapa watamshabikia yupi?
Hapo wamechanganyikiwa hawajui washike lipi waaache lipi..watabaki kulialia na kusema ni propaganda za westerners.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom