Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja.
Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na umuhimu wowote, kazi kufyatua watoto tu basi, huwa nashangaa sana bibi FaizaFoxy akikesha humu kuipambania hii dini licha ya dhuluma zote hizi.
Ukizingatia muasisi wa hii dini kuna sehemu imeandikwa alifanya ngono na katoto ka miaka 9, maana kwamba mabinti hawathaminiwi kabisa tangu wakiwa watoto...

KABUL, Dec 24 (Reuters) - Afghanistan's Taliban-run administration on Saturday ordered all local and foreign NGOs to stop female employees from working, in a move the United Nations said would hit humanitarian operations just as winter grips a country already in economic crisis.

 
Hiyo inaonyesha ni kiasi gani kwamba kuruhani ni kitabu ambacho hakijakamilika na hakiwezi kutosheleza kuongoza nchi.
 
Upuzuzi wote majanga yote uhayawani wote, unatokea tu sababu ya mwanamke kuachwa ajiendeshe. Binafsi sio mwislam ila sharia naiunga mkono. Mwanamke ni kiumbe wa kutumikiwa na mwanaume na inatakiwa alipwe mshahara kwa kumhudumia mwanaume hiyo ndo kazi pekee mwanamke kapewa na mungu. So taliban wako sawa tu
 
Ndio maana hizo nchi za misimamo ya hivyo ni masikini licha ya kupakana na mataifa tajiri na kuwa na rangi ya mtume hewa…nani kakutuma mpaka ijiite mtume!!! At least kina Petro na Yuda walitumwa na Yesu na inaeleweka hiyo…. Japo naye Yesu haieleweki alikuwa anapeleka taarifa wapi…
 
Back
Top Bottom