Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Unajuage kama tayali wapo uko!!!Hao wavuta bangi nao ni wanafiki tu kwa nini wasiende basi kuwasaidia vita.
Ndio kunawatu humu kila siku kuja na misemo mipya mara oparation kukuza hii kiboko ilitumika six day war, mara hii oparation habari mtu yaani wamedata wanakaa kwao na kurusha drones tu kila wakitia mguu wanaume wanafyeka na akilenga kifaru hakosiUnajuage kama tayali wapo uko!!!
ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!
lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Picha iko wapi? hivi wanajua hata maana ya neno Islam? Mohammad anatakiwa huko ardhini ale viboko.. amehadaa watu wengi sana even hao Taliban kabila la Pashtun ni Waisrael kati ya 10 lost tribe of Israel wana wa YacoboWadau hamjamboni nyote?
Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.
Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa na mabango na bendera za Palestina huku wakichoma picha za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
“Tuko hapa kuunga mkono Gaza na kuonyesha dunia kuwa Gaza haiko peke yake, tumesimama pamoja nao. Popote Waislamu wanapodhulumiwa, tunawatetea kwa nguvu na kulaani unyanyasaji huo,” amesema Jannat mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Kabul, ambaye anatumia jina moja tu.
===========================
Thousands of Afghans protest across the country against the Israeli bombardment of Hamas in Gaza, responding to a nationwide call by the Taliban authorities.
Large crowds gather in several cities after prayers waving Palestinian flags and burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu.
“We are out in support with Gaza. And to show the world that Gaza is not alone, we are standing with them. Wherever Muslims are oppressed, we strongly defend them and condemn it,” says 28-year-old Jannat, who goes by one name, in the capital Kabul.
Conversation(2)
Mbona wameshindwa kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia sasa hizo shabaha zinawasaidia kitu gani..😛😛😛Unajuage kama tayali wapo uko!!!
ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!
lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Unawachagulia mtindo wa kutoa kipigo?Unajuage kama tayali wapo uko!!!
ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!
lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Hahaha unachekesha sana kwaiyo jeshi la Anga sio jeshi unazani miaka hii ni sawa na miaka ya 60s zile vita za kuviziana msituni wa Vietnam na US?Unajuage kama tayali wapo uko!!!
ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!
lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Hawa ndio vidume vya kazi.Siku wakiamua kuingia kati basi Netanyahu atakimbia tu.Wadau hamjamboni nyote?
Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.
Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa na mabango na bendera za Palestina huku wakichoma picha za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.
“Tuko hapa kuunga mkono Gaza na kuonyesha dunia kuwa Gaza haiko peke yake, tumesimama pamoja nao. Popote Waislamu wanapodhulumiwa, tunawatetea kwa nguvu na kulaani unyanyasaji huo,” amesema Jannat mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Kabul, ambaye anatumia jina moja tu.
===========================
Thousands of Afghans protest across the country against the Israeli bombardment of Hamas in Gaza, responding to a nationwide call by the Taliban authorities.
Large crowds gather in several cities after prayers waving Palestinian flags and burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu.
“We are out in support with Gaza. And to show the world that Gaza is not alone, we are standing with them. Wherever Muslims are oppressed, we strongly defend them and condemn it,” says 28-year-old Jannat, who goes by one name, in the capital Kabul.
Conversndi
Kama wako huko basi kumbe ni kazi bure kabisa kwani uwepo wao huko hauna impact yoyote.Unajuage kama tayali wapo uko!!!
ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!
lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Naona unajitoa akili ama huelewi nini maana ya ugaidi.Hahaha unachekesha sana kwaiyo jeshi la Anga sio jeshi unazani miaka hii ni sawa na miaka ya 60s zile vita za kuviziana msituni wa Vietnam na US?
Teknolojia imekua kwanza hapo Gaza haikufaa kupelekwa infantry soldiers zilitakiwa ziende drones na robot tu
All in all yahudi ametoa funzo jinsi ya ku deal na magaidi kipigo walicho toa mpaka dunia yote imebaki inashangaa hata ndugu zake US, France na UK wameona hii ni too much hakuna cha Hezbollah, houth na Hamas hii vita ikisimama hakuna mwarabu atakuja tena kurusha ata jiwe kuelekea Israel
Kama Taliban wakisema waingilie kati kivita chukulia Israel imekufa.Hawa talibani naona wamemis kuwenda kuishi mapangoni tena
Kupigana na mtu anaye amini akifa vitani anaenda peponi kufanya ngono na dada zake 72 ni kazi kubwa sana. Na Israel wamekataa mtego wa kuingiza wanajeshi wao kwenye mahandaki kuliko tegwa milipuko ndo maana hamas walipomwachia tu yule mwanajeshi wa IDF mwenye uraia pacha...walipelekewa moto wa hatari. Sababu ya taarifa alizopeleka IsraelUnajuage kama tayali wapo uko!!!