Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita
130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan.
Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine kwa majeshi ya serikali ya Afghanistan kwani jambo hili litauwekea mji mkuu Kabul shinikizo zaidi.
Huku uwezo wa serikali ya Afghanistan kufanya mashambulizi ya angani ukiwa ni mdogo, jeshi la anga la Marekani linaaminika
imekuwa likifanya mashambulizi kuyaunga mkono majeshi ya serikali.
SAfghanstan inapakana na uzbekstan , urusi na wengine.
Russui waliwasaidia wanajeshishi wa Kishia kuitawala afganistan, wakatengeneza kundi na Marekani , Sunni hawakukubali.
India wapo upande wa Russia, Pakistan wapo upande wa USA-Magharibi kwahyo lilitengenezwa kundi la mujahidin kuwaondoa russia, kundi hilo liliwaondoa russia na lilisifwa sana na dunia nzima na ni la SUNNI likiongozwa na akina OSAMA bin LADEN.
Lile kundi la mujahidin waliondoka na wengine wakabaki, mujahidin walibaki lakini hawataki biashara ya madawa kulevya ila wa -afgan wenyewe wanapiga hizo ishu, ndio biashara yao kubwa baada ya kundi la Sunni kuwa na corruption kuna kundi la wanafunzi walikuwepo Pakistan. TWALIBAN maana yake ni Wanafunzi .Sunni ni wanasiasa wenye siasa kali, tuendelee kupata updaytes.
Rais kakimbia nchi, je Marekani warudi afganstan au waarabu watakwenda kuwasaidia waarabu wenzao?
Kwanini kila nchi inategemea marekani?
Wanaopiga kelele marekani ijiondoe huko middle east mbona wapo kimya wakati wenzao wanapopinduliwa?