Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

20210815_212247.jpg
 
Taleban walikua wanafadhiliwa na marekani na wamarekani kuna sehemu anaweza kufadhili waasi na serikali ili afaidike baaadae sasa ili kuelewa haya mambo inabidi usiwe shabiki wa upande wowote na kuelewa jinsi mashirika ya kijajsusi duniani yanavofanya kazi ya kuvuruga amani ya dunia kwa maslahi yao inabidi uwe na uelewa wa hali ya juu
Lazima tujue ni masilahi gani hayo na Ni Nani??
 
Aibu sana kwa Marekani!

Rais Biden hata haelewi anachokifanya.
Aibu ya nn sasa vita ya Afghanistan hailipi alichokuwa anakitafuta alishakipa ndo maana ameamua kuondoka jeshi jiulize mbona Iraq haondoki pamoja na serikali kuomba waondoke... USA sio mjinga kama unavyofikiria ni swala la mahesabu tu....
 
Mpango gani sasa huo ambao Wamarekani wametumia zaidi ya dola trilioni 2, maelfu ya askari wao kupoteza maisha katika kuwaondoa Taliban, halafu mwisho wa siku Taliban hao hao ndo wanarudi madarakani??

Huo utakuwa ni mpango wa kipumbavu kabisa kuwahi tokea hapa duniani.

Marekani ina watu wasio na makazi [homeless] wengi sana.

Hizo dola trilioni 2 na ushee zingefaa kutumika kuwasaidia hao wasio na makazi kuliko kwenda kuziunguza huko Afghanistan.

Kilele cha upumbavu.
Acha kujifanya unajua kuliko USA ushashiba makande yako unaongea ongea ujinga unafikir USA hajui anachofanya ila wewe wa mbezi Luis ndo unajua?
 
Serrikali ya Trump na Pompeo ndio waliofanya makubaliono na kiongozi wa magaidi wa Taliban kuondoka Afghanistan na mpango wa Trump ilikuwa kuondoa majeshi mwezi May, Biden ameuchelewesha tu kwa miezi mitatu.
 
kwa lugha moja mashirazi ni waarabu, unajua wakatoliki, wa-TAG-, Walutheri, wa anglikan wote ni WAKRISTO , ndivyo ilivyo kwa wa-afghanstan ni WAARABU.

duniani sisi tunatambua ,
1. WAZUNGU.
2. WAAFRIKA
3. WAARABU
4. WA-ASIA.
Hakuna Race ya wa- Asia duniani. Asia ina watu Tofauti sana. Wachina, Waarabu, Wahindi, Waturuki, Washirazi, Wazungu wa Ki-slavs, Wajapan n.k wote wako Asia ila ni jamii tofauti sana kati ya mmoja na mwingine
 
sawa.
 
Serrikali ya Trump na Pompeo ndio waliofanya makubaliono na kiongozi wa magaidi wa Taliban kuondoka Afghanistan na mpango wa Trump ilikuwa kuondoa majeshi mwezi May, Biden ameuchelewesha tu kwa miezi mitatu.
Haijalishi!

Kuna mangapi ya Trump ambayo Biden aliyafuta baada ya kuingia madarakani?

Hii blunder Biden anawajibika moja kwa moja.

Hakulazimishwa na mtu ayaondoe majeshi yake kwa namna alivyoyaondoa.
 
Yasemekana USA waliazimwa nchi kuijenga na kuweka miundombinu.... thuma kuwarejeshea wenye haki (wazawa wananchi) !!
 
Mpango gani sasa huo ambao Wamarekani wametumia zaidi ya dola trilioni 2, maelfu ya askari wao kupoteza maisha katika kuwaondoa Taliban, halafu mwisho wa siku Taliban hao hao ndo wanarudi madarakani??

Huo utakuwa ni mpango wa kipumbavu kabisa kuwahi tokea hapa duniani.

Marekani ina watu wasio na makazi [homeless] wengi sana.

Hizo dola trilioni 2 na ushee zingefaa kutumika kuwasaidia hao wasio na makazi kuliko kwenda kuziunguza huko Afghanistan.

Kilele cha upumbavu.
Pamoja na marekani kuwa na homeless wengi,Marekani huchangia 55% ya mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa karibu dola trilion 1.5. Kwanini isingetumia hiyo pesa kuwajengea nyumba watu wake. Endelea kushangaa na hilo.
 
Of course! Nitaendelea kushangaa sana tu.
 
Back
Top Bottom