Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

Kuna hawa watu

Wairani
Wapakistani
Waafghanistani
Waturuki
Wasomali

Watu wanawafikiria kuwa ni waarabu
Ila sio

Washirazi ni waajemi aka Persians ambao ndio wairani
Nao wanajijua kuwa sio waarabu
Ila watu wanapenda kuwapaka uarabu wasio nao
Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?
 
Capping hard for Sleepy Joe!

And where the hell is he? Taking a nap?

Trump alijitoa kwenye Climate Change. Alijitoa kwenye Iran Nuclear deal. Aliachana na mambo ya DACA, nk.

Biden alipoingia, ndani ya siku mbili tu akafuta maamuzi karibu yote ya Trump kupitia executive orders!

Hakulazimishwa kuifuata exit agreement ya Trump.

Angeweza kabisa kuanzisha mchakato wake mwenyewe!

Pia angeweza kabisa kuondoka huko Afghanistan kwa mpangilio wa kueleweka.

Sasa mambo yameharibika! Badala ya kuwajibika, anataka kuhamisha lawama!

Hahahaaa. It ain’t gonna work.
 
kwa lugha moja mashirazi ni waarabu, unajua wakatoliki, wa-TAG-, Walutheri, wa anglikan wote ni WAKRISTO , ndivyo ilivyo kwa wa-afghanstan ni WAARABU.

duniani sisi tunatambua ,
1. WAZUNGU.
2. WAAFRIKA
3. WAARABU
4. WA-ASIA.
Chief hapa unatoa boko
Tunatambua
1. Waafrika
2. Wazungu (Europe)(Skandinavia)
3. Wamarekani
4. Asians (Waarabu, Wahindi, Wachina, Waajemi, Wajapan, Phillipines) Na Waturuki japo wao wamejisogeza kwenye Europe.
 
msiseme wameteka, semeni kuwa wameachiwa baada ya kuichakaza nchi yao na kutoonekana kama kuna maslahi tena ya marekani na wamagharibi. jueni westerners walienda kule tangu enzi za osama bin laden nafikiri na walikuwa wanahofu wataondokaje baada ya kutimiza malengo yao. taliban wakichukua nchi au wasichukue Marekani wanaathirika vipi kwa sasa?
Kwa uhakika walikuwepo hata kabla ya Osama. Waliwapa mafunzo akina Osama ili wawaondoe Warusi, Warusi walipoondoka wakamgeukia Osama naye wakamtimua pamoja na Mulla Abbas. Sasa wameondoka wanaona hakuna tena maslahi labda mafuta yamekwisha katika eneo na makampuni yao yameanza kuhama.
 
Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?
Iranians ni Waajemi (siyo Washirazi, Shirazi ni mji tu katika nchi ya Iran) na lugha yao siyo kiarabu ni tafauti.
 
Chief hapa unatoa boko
Tunatambua
1. Waafrika
2. Wazungu (Europe)(Skandinavia)
3. Wamarekani
4. Asians (Waarabu, Wahindi, Wachina, Waajemi, Wajapan, Phillipines) Na Waturuki japo wao wamejisogeza kwenye Europe.
Sheria na siasa tupo mbali kidogo, ila tunaelimisha na wengine,Waarabu hasa Arab League wamekaa kimya, moja labda wanafurahia ama hawafutrahii ila hawana uwezo wa kuikomboa Afganstan.
 
Hii ishu huwa inanipa shida Sana, ukimchukua mchina, mzungu na mwafrika mweusi unawezakuwatofautisha kwa rangi, maumbo na nywele zao. Lakini vipi ukimchukua muiran na msaudia unawezaje kuwatofautisha? Kuitwa muarabu ni kwa ajili ya lugha yako ya taifa ni kiarabu au muonekano?
Isikupe shida... hao wote syllabus yao Moja.. kitabu chao kimoja, utamaduni wao mmoja Lugha yao ni Moja ila 8na lafudhi na lahajz mbalimbali...
Hulka zao ni unpredictable..usiku marafiki kukicha wagomvi.. leo maswahiba kesho wahasimu... wakiamu kumchangia mtu au taifa wanakuja Pamoja...mara tu mwingine akiwaza nz kutafakari mnanitoa ktk njama....
Life goes on !!
 
Iranians ni Waajemi (siyo Washirazi, Shirazi ni mji tu katika nchi ya Iran) na lugha yao siyo kiarabu ni tafauti.

Hapa nimeshindwa kukuelewa!
Wazanzibar ni Waunguja (siyo Wapemba, Pemba ni kisiwa tu katika Zanzibar) na lugha yao siyo kiunguja ni tofauti.
 
Back
Top Bottom