Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

Wapi kwingine huwa mnafuata misaada, waarabu wenye dini yao huwa wabahiri sana.
Hili jukwaa mshaligeuza kuwa la udaku na ushabiki maandazi ambao mnauleta mpaka katika mambo serious.
 
Hapa hutaona Mujahedeen hata moja kwa sababu wanajua Marekani hausiki.. [emoji1787] [emoji1787]
Kenge hawa , wanafiki wakubwa , kufyata mkia kama kitimoto .
Si waombe Kwa wajahidina wenzao huko Saudi ?
 
Njaa haina adabu wasiupokee kwann
Si wana waitaga makafiri. Nyenye nyiingi afu kumbe hao wanao wasurport hawana msaada kwao kipi kigumu. Si waiambie Russia.? Sema tu wazungu hawana mambo za kisoro kuwekea vinyongo na visasi kwa raia. Ila ilibidi hawa wakaushiwe wajisaidie wenyewe. Kuita watu makafiri na kuwahukumu afu bado uwahitaji kwenye shida zako ni ujinga mkubwa.
 
Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada.

=============

At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said.
The 6.1 magnitude quake hit in Paktika province, causing scores of homes to collapse and landslides.

The quake struck about 27 miles from the south-eastern city of Khost shortly after 1.30am local time when many people were asleep in their beds.

Taliban leader Hibatullah Akhundzada said hundreds of houses were destroyed and the death toll was likely to rise.

His deputy minister for disaster management Sharafuddin Muslim told a news conference that at least 920 people had been killed and a further 600 injured.

Images showed destroyed stone houses, with residents searching through clay bricks and other rubble for survivors.

Victims were carried into helicopters to be airlifted to hospital from remote areas.

Related video: Palestinian rocket fire draws Israeli air strikes in Gaza (Reuters)

Takbiiir
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Petro Dollars pale middle East au ....,mkimbizi wa Syria anaiacha Dubai, Muscat, Saud Arabia anakimbilia ujerumani!,muda mwingine sielewi hii chemistry
 
Back
Top Bottom