Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

Mwanamke atulizane nyumbani na kuangalia famili. Nini kukaa macho juu juu na kupiga masimu kila mahali.
Hongera talibani kwa kurudisha heshima ya mama na familia [emoji128]
Wewe mbona hujaenda kuishi huko maanake hapa hizo sheria za kipumbavu hatuna.
 
Mijitu mijinga ovyo kabsaaa
Kazi kuwaza ngono tuu
Mara bikra 72 hivi hiyo akili au mavi yamejaa kichwan?
Hahaha eti ukafanye ufirauni wako Mungu akuzawadie bikira 72, sidhani kama ni Mungu kweli hapo Mudi aliwadanganya.
Ndio maana huwa wananichanganya wanasema WANAENDA PEPONI huku Makanisa yanaondoa MAPEPO, huko peponi si ndiko yanishi MAPEPO au?
 
Mwanamke atulizane nyumbani na kuangalia famili. Nini kukaa macho juu juu na kupiga masimu kila mahali.
Hongera talibani kwa kurudisha heshima ya mama na familia [emoji128]

Ukute upo mkuranga unakula mihogo na dagaa nyama,ebu nenda ukaishi afgan
 
Back
Top Bottom