Mbona samaki wanatoka Baharini wanaenda kuzikwa chooni?Walivyotangaza Wamarekani ni Pakistan, Lakini ukweli ni kuwa Osama alishakufa kwa amri ya Mungu siku nyingi, Wamarekani wakatumia advantage ku act kama wamempata. Ulisikia wapi mtu anatolewa nchi kavu kwenda kuzikwa baharini?
Wamarekani waongo sana.
Wasikilize hapa mashuhudaHii ni chai ya kibena.
Au ulikuwepo kwenye kikao...?
Uliona hiyo picha...?
Au ni story kutoka Sinza kijiweni..?
Una haki ya jufikiri na upo huru kubwabwaja na kuhororoja upendavyo, mradi ukweli unaufaham, tosha.Mbona samaki wanatoka Baharini wanaenda kuzikwa chooni?
Labda waliogopa watu watakua wanaenda kuhiji kwenye kaburi la kamanda Osama
Kweli kabisa, Taliban wamesema masomo watayapata madrasa ili kulinda maadili ya Kiislam yaliyojaribiwa kupotezwa jwa makusudi, kwa miaka 20 waliyokuwa vitani na mashetani.Shule za sekondari za wasichana zimefungwa mpaka sasa. Wanaruhusiwa kusoma masomo ya dini tu sijui ni kweli?
Watu hao watakuwa wajinga ndiyo waliwao wanaokwenda kuhiji kwenye kaburi la mtu.Mbona samaki wanatoka Baharinia wanaenda kuzikwa chooni?
Labda waliogopa watu watakua wanaenda kuhiji kwenye kaburi la kamanda Osama
So unaamini walimuuaāš¤£Osama alikuwa ajent wao CIA. Kila kitu kuhusu Osama kilikuwa Planned, kwa dunia ya sasa usifanye mchezo CIA ikusake kisha eti uchukue miaka yote wakukose, tena mtu ambae wana picha zako na wanakujua vizuri.
š¤£š¤£š¤£ haya uko sahihi mkuu.Wamarekani wangeupinga uislamu wangepiga marufuku misikiti kujengwa
Kwa maana hiyo hakutakuwa naKweli kabisa, Taliban wamesema masomo watayapata madrasa ili kulinda maadili ya Kiislam yaliyojaribiwa kupotezwa jwa makusudi, kwa miaka 20 waliyokuwa vitani na mashetani.
Hawataki kuona ujinga wa maadili maovu kwa vizazi vijavyo. Mwansmke ana thamanu jubwa ya kuwa ndio mlezi wa vizazi vijavyo Afghanistan.
Hawajakatazwa kusoma Madrasa za Jiislam zinazotowa elimu kwa misingi ya Kiislam.
Inapendeza sana.Ni matumaini yetu na Hamas na wenzao wataifanyia hivyo hivyo IsraelTaliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.
Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu baada ya Taliban kukataa katakata kumsalimisha Osama BinLaden kwa "kosa amablo hawalijui" kwa usemi wao.
Marekani kwa kujimwambafai wakapeleka majeshi yao wakishirikiana na Majeshi ya Uingereza na NATO nzima. Taliban wakasema hatujawahi kushindwa na yeyote duniani na Afghanistan haijawahi kutawaliwa na nchi yoyote ya nje toka iumbwe dunia, haitotokea hilo kwenye utawala wetu.
Taliban Wakatimiza hilo baada ya miaka 20 ya kuwanyuka Wamarekani na NATO nzima. Licha ya Wamarekani na NATO kuwa na voifaa vya kisasa na zana za teknolojia bora kabisa za kivita,Taliban walikuwa wanawatandika kiaina yake na ushujaa wa hali ya juu, huku wakisema silaha ni sisi wenyewe saiyo hizo toys zenu.
Taliban walitumia silaha za kujiundia wenyewe na wanazoziteka kutoka majeshi ya Marekani na NATO. Wakawatembezea kichapo Wamarekani mpaka Wamarekani wakati wa Obama wakapiga marufuku vyombo vya habari kuonesha picha za masandauku ya maiti ya wanajeshi wao zinazorudi kutokea Afghanistan.
Matokeo, Wamarekani wakakiri kushindwa kimya kimya kwa kutoka nduki na kuwacha nyuma silaha na vifaa vinavyokadiriwa kua na thamani ya US Dollars Billion 7.
Kishujaa na kwa kutamba kabisa, juzi na kila mwaka kuanzia wapate ushindi, wamefanya sherehe za paredi kwa vifaa vya kijeshi na silaha za Wamarekani.
Jionee sherehe hizo...
View: https://youtu.be/RZYZONPhqZ8?si=uW2_4Ky2GXXaBw2g
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
Hilo lisikupe shaka ni muda tu, mpaka sasa mazayuni hawajaqahi kupigana vita ndefu namna hii.Inapendeza sana.Ni matumaini yetu na Hamas na wenzao wataifanyia hivyo hivyo Israel
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
"Mualiko wa nini na "usinisahau" kwani tunajuwana mimi na wewe? Toka lini hata leo iwe mara ya pili? Unanchekesha.FaizaFoxy kama umepewa kadi ya watu wawili ya mualiko usinisahau.
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
Unafikra potofu sana, kwani elimu ya vyote ilitokea wapi kama siyo madrasa?Kwa maana hiyo hakutakuwa na
Madaktari
Manesi
Walimu
Askari wanawake
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
Jiulize kwanini Wamarekani na vibaraka wake wamemtowa madarakani Imran Khan na kumweka ndani mpaka leo?Hata Pakistan wanafahamu huu ukweli ...
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
Wewe kwa lugha hiyto ndiyo umeelimika?Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
Miaka 20 wanakula na kunywa nyumbani kwako halafu unawaambia watu wanapigika kiulaini. BIBI MUONGO HUYU.Taliban wameidhihirishia dunia kuwa Marekani na NATO wanapigika kiulaini na wameifundisha dunia namna ya kuwapiga hao mashetani. Mbinu hizo hizo ndio kwa sasa zinatumika Ghaza, Syria, Iraq na Yemen. Marekani na mashoga zake wanadonyolewa kidogo kidogo. Wakikasirika wanakuja na dege na mabomu ya tani 2000 wanapiga weee watu wapo mapangoni, wakitulizana, wanakuja vijana wanadonyoa wanarudi mapangoni.
Umeona walichoonesha hezbollah juzi?
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.
Obama ni kibaraka tu, aliwekwa picha tu pale.Pale Marekani ilitupiga na ktk ile operation waliotajwa kushiriki wote walianza kupotezwa ( Nahisi ilikuficha siri zaidi).
Hakuna aliye wasumbua Marekani kama Osama, kwa hali hiyo wangemdhalilisha sanaaa, kama Walivyo fanya kwa Sadam Hussein, camera kuanzia walivyomtoa pangoni na process zote za mahakamani hadi Kunyonga.
Osama wakasem waliweka siri kwa sababu za dini yake ambayo wao wanaipingaš¤£.
Obama alicheza game ya kitoto sana.