Taliban Washerehekea Miaka 3 ya kuitwanga na kuifurusha Marekani nchini mwao

Walivyotangaza Wamarekani ni Pakistan, Lakini ukweli ni kuwa Osama alishakufa kwa amri ya Mungu siku nyingi, Wamarekani wakatumia advantage ku act kama wamempata. Ulisikia wapi mtu anatolewa nchi kavu kwenda kuzikwa baharini?

Wamarekani waongo sana.
Mbona samaki wanatoka Baharini wanaenda kuzikwa chooni?

Labda waliogopa watu watakua wanaenda kuhiji kwenye kaburi la kamanda Osama
 
Una haki ya jufikiri na upo huru kubwabwaja na kuhororoja upendavyo, mradi ukweli unaufaham, tosha.
 
Shule za sekondari za wasichana zimefungwa mpaka sasa. Wanaruhusiwa kusoma masomo ya dini tu sijui ni kweli?
Kweli kabisa, Taliban wamesema masomo watayapata madrasa ili kulinda maadili ya Kiislam yaliyojaribiwa kupotezwa jwa makusudi, kwa miaka 20 waliyokuwa vitani na mashetani.

Hawataki kuona ujinga wa maadili maovu kwa vizazi vijavyo. Mwansmke ana thamanu jubwa ya kuwa ndio mlezi wa vizazi vijavyo Afghanistan.

Hawajakatazwa kusoma Madrasa za Jiislam zinazotowa elimu kwa misingi ya Kiislam.
 
Mbona samaki wanatoka Baharinia wanaenda kuzikwa chooni?

Labda waliogopa watu watakua wanaenda kuhiji kwenye kaburi la kamanda Osama
Watu hao watakuwa wajinga ndiyo waliwao wanaokwenda kuhiji kwenye kaburi la mtu.
Mwaislam tunakwenda ziara makaburini, lakini hatuendi kuhiji makaburini.
 
Osama alikuwa ajent wao CIA. Kila kitu kuhusu Osama kilikuwa Planned, kwa dunia ya sasa usifanye mchezo CIA ikusake kisha eti uchukue miaka yote wakukose, tena mtu ambae wana picha zako na wanakujua vizuri.
So unaamini walimuua❓🤣
 
Kweli kabisa, Taliban wamesema masomo watayapata madrasa ili kulinda maadili ya Kiislam yaliyojaribiwa kupotezwa jwa makusudi, kwa miaka 20 waliyokuwa vitani na mashetani.

Hawataki kuona ujinga wa maadili maovu kwa vizazi vijavyo. Mwansmke ana thamanu jubwa ya kuwa ndio mlezi wa vizazi vijavyo Afghanistan.

Hawajakatazwa kusoma Madrasa za Jiislam zinazotowa elimu kwa misingi ya Kiislam.
Kwa maana hiyo hakutakuwa na
Madaktari
Manesi
Walimu
Askari wanawake
 
USA hakufurumushwa aliondoka mwenyewe ndio maana siku ya kuondoka vijana walidandia ile ndege kwenye matairi wakaanguka njiani
 
Afghanistan hakuna chochote kwa sasa zaidi ya ukame ........unataka usa ibaki kufanya nini?? Harafu vile vitu walivyoviacha soon vitakufa kimoja kimoja maana watakuwa hawana material za kurekebisha vikianza kusumbua au kufa.........na hapo ndio utakuwa mwisho wa wavaa madera
 
Taliban wmefanya gwaride kubwa kwa kutumia magari ya deraya na silaha kibao walizowateka Wamarfekani miaka 3 nyuma.

Ikumbukwe kuwa Taliban waliingia vitani na Wamarekani kwa miaka 20 mfululizo baada ya Wamarekani kuwashmabili na kuwataka kuiondowa serikali ya wanafunzi (Taliban) kwa mabavu baada ya Taliban kukataa katakata kumsalimisha Osama BinLaden kwa "kosa amablo hawalijui" kwa usemi wao.

Marekani kwa kujimwambafai wakapeleka majeshi yao wakishirikiana na Majeshi ya Uingereza na NATO nzima. Taliban wakasema hatujawahi kushindwa na yeyote duniani na Afghanistan haijawahi kutawaliwa na nchi yoyote ya nje toka iumbwe dunia, haitotokea hilo kwenye utawala wetu.

Taliban Wakatimiza hilo baada ya miaka 20 ya kuwanyuka Wamarekani na NATO nzima. Licha ya Wamarekani na NATO kuwa na voifaa vya kisasa na zana za teknolojia bora kabisa za kivita,Taliban walikuwa wanawatandika kiaina yake na ushujaa wa hali ya juu, huku wakisema silaha ni sisi wenyewe saiyo hizo toys zenu.

Taliban walitumia silaha za kujiundia wenyewe na wanazoziteka kutoka majeshi ya Marekani na NATO. Wakawatembezea kichapo Wamarekani mpaka Wamarekani wakati wa Obama wakapiga marufuku vyombo vya habari kuonesha picha za masandauku ya maiti ya wanajeshi wao zinazorudi kutokea Afghanistan.

Matokeo, Wamarekani wakakiri kushindwa kimya kimya kwa kutoka nduki na kuwacha nyuma silaha na vifaa vinavyokadiriwa kua na thamani ya US Dollars Billion 7.

Kishujaa na kwa kutamba kabisa, juzi na kila mwaka kuanzia wapate ushindi, wamefanya sherehe za paredi kwa vifaa vya kijeshi na silaha za Wamarekani.

Jionee sherehe hizo...

View: https://youtu.be/RZYZONPhqZ8?si=uW2_4Ky2GXXaBw2g

Inapendeza sana.Ni matumaini yetu na Hamas na wenzao wataifanyia hivyo hivyo Israel
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

Hilo lisikupe shaka ni muda tu, mpaka sasa mazayuni hawajaqahi kupigana vita ndefu namna hii.

Mulla Omar wa Taliban waliwaambia mashetani wa kimarekani na mashoga zao, "tunakipenda kifo kama mnavyopenda kuishi, trunaishi na kifo".

Hawakumuelewa.

Maneno hayo yamerudiwa mara kadhaa na wapiganaji wa Hamas. Natumai mazayuni watawaelewa.

Huu ni mwisho wa uzayuni mashariki ya kati. MBS huko Saudia, mavi debe.
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

FaizaFoxy kama umepewa kadi ya watu wawili ya mualiko usinisahau.
"Mualiko wa nini na "usinisahau" kwani tunajuwana mimi na wewe? Toka lini hata leo iwe mara ya pili? Unanchekesha.
 
Sherehe zimefana kwa kweli.Hongera Mataliban.
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

Kwa maana hiyo hakutakuwa na
Madaktari
Manesi
Walimu
Askari wanawake
Unafikra potofu sana, kwani elimu ya vyote ilitokea wapi kama siyo madrasa?

Soma kijana, wachana na mihemko ya kijinga.
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

Hata Pakistan wanafahamu huu ukweli ...
Jiulize kwanini Wamarekani na vibaraka wake wamemtowa madarakani Imran Khan na kumweka ndani mpaka leo?

Fanya japo utafiti kiduchu wa mtandao. Utapata jibu.
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

Wana akili kama, nguruwe, mijitu ina Ak47, lakini inaogopa ikiona mtoto wa kike akaenda shule! Inaogopa kuona nywele za mtoto wa kike, msichana,
Kama wanaweza wajenge nchi Yao, iwe kama Korea kaskazini,
Stupid fuckers
Wewe kwa lugha hiyto ndiyo umeelimika?

Shule ni neno la Kijerumani. Ninhgekuona wa maana sana ungetumia neno la Kiswahili.

Madrassa ni zaidi ya shule.
 
Taliban wameidhihirishia dunia kuwa Marekani na NATO wanapigika kiulaini na wameifundisha dunia namna ya kuwapiga hao mashetani. Mbinu hizo hizo ndio kwa sasa zinatumika Ghaza, Syria, Iraq na Yemen. Marekani na mashoga zake wanadonyolewa kidogo kidogo. Wakikasirika wanakuja na dege na mabomu ya tani 2000 wanapiga weee watu wapo mapangoni, wakitulizana, wanakuja vijana wanadonyoa wanarudi mapangoni.

Umeona walichoonesha hezbollah juzi?
Miaka 20 wanakula na kunywa nyumbani kwako halafu unawaambia watu wanapigika kiulaini. BIBI MUONGO HUYU.
 
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.

Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"

Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.

Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori ikapindua serikali na kuanza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, wakazitwaa silaha zenye thamani ya dola bilioni 80, Biden alichukulia poa tu.

Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.

Pale Marekani ilitupiga na ktk ile operation waliotajwa kushiriki wote walianza kupotezwa ( Nahisi ilikuficha siri zaidi).

Hakuna aliye wasumbua Marekani kama Osama, kwa hali hiyo wangemdhalilisha sanaaa, kama Walivyo fanya kwa Sadam Hussein, camera kuanzia walivyomtoa pangoni na process zote za mahakamani hadi Kunyonga.
Osama wakasem waliweka siri kwa sababu za dini yake ambayo wao wanaipinga🤣.

Obama alicheza game ya kitoto sana.
Obama ni kibaraka tu, aliwekwa picha tu pale.
 
Back
Top Bottom