Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

MAMA SAMIA bila elimu dunia U rais angeupata wapi?
Ana elimu gani huyo mama yako? Nikikwambia uniletee education background ya huyo mama yako (inayoeleweka), utaileta?

Kutoka masijala na kusambaza chai maofisini mpaka kuwa rais, ni jambo la bahati na sio Elimu. Yupo pale kwakua katiba ilitaka hivyo.
 
Ila Sasa nani anawatibu na kuwazalisha
Wanaume,ndicho Taliban baadhi wanachokereka,unajua Taliban siyo Kama CCM kwamba inatoka juu kauli moja na inafuatwa,Taliban Kuna mamullah wengi na kila mmoja ana mtazamo wake,Sasa wapo wengine hawataki binti asome,wengine wanaona udwanzi wake zao kuchinguliwa na njemba hospitali,wengine Hadi Twitter na Facebook wamo
 
Waarabu walikosa Elimu maamuzi yao mengi yapo katika wivu na kumkandamiza mwanamke kwa mgongo wa Dini...hakuna Nchi hapo wahuni tuu na wanedanganyana eti Elimu kwa Wanawake ni kufuata mambo ya Nchi za Magharibi...
 
Adriz wanacho fanya taliban ni sahihi au sio sahihi
Sahihi sababu kusoma ni haki ya kila mtu ila lazima iangaliwe mtaala unafundisha nini na mazingira ni sahihi ? Sasa watu wanatoa chumvi nyingi pasipo na msingi wakati tokea mwanzo Taliban hawakuzuia mtoto wa Kike kupata elimu ila wanataka waboreshe mazingira ya upatikanaji kuwa bora na salama zaidi kwao.
 
Tatizo watu wengi linapokuja swala kuhusu uislamu wanakosa UADILIFU ,soma na fiatilia taarifa kea umakini katika vyanzo husika Uislamu katika kila ruhusa imeweka limit kwa ajili ya faida na usalama wa muhusika . Taliban hawajazuia moja kwa moja bali wwmezuia kwa muda kwa mujibu wa kuboresha mazingira na mitaala iwe salama zaidi kwao.
 
Hawa nao utadhani wanaishi mwaka 1200..
Mambo yao ni ya ovyoo..!
 
Hakuna sayansi yoyote kwenye uislam zaidi ya mambo ya kishirikina
 
Oky adriz huwa naelewa ufafanuz wako hutumii nguvu wala matusi tofauti na wengine
 
Elimu ni kiungo muhimu sana katika kukuza uchumi wa taifa lolote lile
 
Hii amri iwahusu waislam wote duniani, hakuna mabinti kusoma.
Marafiki zangu wadada wa kiislam TRA ARUSHA mpoo .....oneni ujinga wa wenzenu
 
Usijitoe ufahamu. Mbona watoto wako wa kike unawasomesha.. elimu Bora kabisa na Mazingira Bora yapo huko magharibi.. elimu ya huko Afghanistan ni sawa na ya huku kwetu. Haina matokeo chanya katika Dunia ya Sasa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliyekataa kuwasomesha ,mazingira bora kila sehemu ina taratibu zake kabla ya Taliban hapo katika usomaji wanaume na wanawake walikuwa wanachanganyika Taliban walipoingia wakaua huo mfumo sasa ukibadilisha mfumo siku zote lazima kunavitu uongeze katika miundombinu nk ili iweze kuendana na mfumo mpya kutoka wa zamani sasa wao wameona wawapumzishe kwanza kwa muda ilimradi waje na njia na miundombinu ya ufanisi kuendana na mfumo wao mpya.

Elimu ya Magharibi kuna baadhi ya nchi wana mitaala na vitabu vinavyopandikiza mbegu za ushoga,mapenzi ya jinsia moja ,ufeminisism na ajenda nyingine hata mimi nikiwa kiongozi lazima nikague mitaala nilijikuta na kufuta vitu vingine vichafu na visivyo na Mantiki.Hakuna ubaya katika kuiga kilichobora kama kuna vitu vya kimagharibi vizuri havipelekei kukufuru ,maasi na uovu mwingine kuiga hakuna ubaya.
 
elimu mpaka darasa la saba mwanamke inamtosha, akitoka hapo akasomee kazi za mikono, zaidi ya hapo ni kujitafutia matatizo

naungana na Taliban na DeepPond kwa hili
Onesha mfano kwa kumuachisha mwanao shule akifika darasa la 7, asiende sekondari.
 
Watoto wao kike wa viongozi wapo nchi za nje wanasoma hao wanazuia wa maskini wasiende shule ili wawatawale vizuri.
 
Mwanamke kwenye uislamu huonwa kama mfugo, ng'ombe kazi yake kufyatua watoto tu, kuanzia mtume wao kuchafua katoto ka miaka 9 mpaka leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…