kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Lawama zote kwa marekan kama kawaida yenuOnly the US made it possible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lawama zote kwa marekan kama kawaida yenuOnly the US made it possible
We jamaa kwahiyo kwakuwa uislam unataka basi na dunia yote iwe hivyo?Allahu akbar, Alhamdullilah, maagizo ya Mtume yameanza kutekelezwa, kidogo kidogo hivi mwishowe dunia nzima itafuata huu utaratibu.
Tumeshaona madhara ya wanawake kusomeshwa, ndiyo hawa maslayqueen, ndiyo hawa mafeminists, ndiyo hawa wanataka 50/50, ndiyo hawa malaya wa badoo.
Dunia nzima itakuja kugundua umuhimu wa kutomsomesha mwanamke ili ndoa ziwe stable, Tujifunze kutoka Afghanistan.
Sharia ya Allah ndio njia pekee ya binadamu kuishi kwa amani hapa duniani
Hata kama karuhusu haimaanishi kila aliye chini yake atafata hayo matakwa yake. Hakuna mkristo yeyote asiyefahamu ushoga ni dhambi kubwa sana na chukizo kwa Mungu.[emoji23][emoji23]Hao ni watu hata papa kuruhusu ushoga sio kwamba ukristo ndo unaruhusu ni tamaa za kibadamu.
Mungu anataka, dunia nzima inatakiwa ifateWe jamaa kwahiyo kwakuwa uislam unataka basi na dunia yote iwe hivyo?
We unawatetea hapa, halafu ukitaka kuoa unaenda kijijini kutafuta wa darasa la saba unaleta mjini...Hao wasomi nani awaoe??Kama unamaanisha, basi fuvu lako hilo limejaa uji. Mnamgeuza mwanamke kuwa chombo cha starehe ya ngono tu eti? Kwingine kote asihusike! Mnakera!
Futa kauli mkuu. Hiyo ni kwa nyie waislam... Sisi wakristo hatuna akili finyu kiasi hichoMungu anataka, dunia nzima inatakiwa ifate
Yanafuatwa 100% ndo maana ukitaka kufunga ndoa ya jinsia moja lazima uwe mkristo ili ufunge kanisani na wanaruhusu karibia makanisa yote kasoro walokoleHata kama karuhusu haimaanishi kila aliye chini yake atafata hayo matakwa yake. Hakuna mkristo yeyote asiyefahamu ushoga ni dhambi kubwa sana na chukizo kwa Mungu.
Allahu akbar, Alhamdullilah, maagizo ya Mtume yameanza kutekelezwa, kidogo kidogo hivi mwishowe dunia nzima itafuata huu utaratibu.
Tumeshaona madhara ya wanawake kusomeshwa, ndiyo hawa maslayqueen, ndiyo hawa mafeminists, ndiyo hawa wanataka 50/50, ndiyo hawa malaya wa badoo.
Dunia nzima itakuja kugundua umuhimu wa kutomsomesha mwanamke ili ndoa ziwe stable, Tujifunze kutoka Afghanistan.
Sharia ya Allah ndio njia pekee ya binadamu kuishi kwa amani hapa duniani
Wakristo hamkuumbwa na Mungu? Nyie ndio hamtaki kumfuata?Futa kauli mkuu. Hiyo ni kwa nyie waislam... Sisi wakristo hatuna akili finyu kiasi hicho
Na kulea watotoYaan mwanamke kazaliwa kwaajili ya ndoa tu?
Allahu akbar, Alhamdullilah, maagizo ya Mtume yameanza kutekelezwa, kidogo kidogo hivi mwishowe dunia nzima itafuata huu utaratibu.
Tumeshaona madhara ya wanawake kusomeshwa, ndiyo hawa maslayqueen, ndiyo hawa mafeminists, ndiyo hawa wanataka 50/50, ndiyo hawa malaya wa badoo.
Dunia nzima itakuja kugundua umuhimu wa kutomsomesha mwanamke ili ndoa ziwe stable, Tujifunze kutoka Afghanistan.
Sharia ya Allah ndio njia pekee ya binadamu kuishi kwa amani hapa duniani
Mbona unapenda uzushi na uongo lipo wapi kanisa la katoliki linafungisha ndoa ya jinsia moja, ebu leta hiyo declaration iliyosainiwa na papa na inayoongesha kanisa katoliki limeruhusu ushogaYanafuatwa 100% ndo maana ukitaka kufunga ndoa ya jinsia moja lazima uwe mkristo ili ufunge kanisani na wanaruhusu karibia makanisa yote kasoro walokole
Ila Sasa nani anawatibu na kuwazalishaWanaweka utaratibu wanaoona unafaa kwanza,hiyo taarifa yenyewe chumvi nyingi,Mara idai tangu march mabinti walizuiwa kwenda shule,Mara disemba hii mitihani imefanyika mabinti wanalaumu hawajaenda shule kwa miezi mitatu,Sasa march mpaka disemba ni miezi mitatu!?..niliiona mahojiano ya kiongozi wa Taliban na Al Jazeera na dada mwanaharakati wa elimu kwa wanawake,ilikua dhahiri Taliban Wana mipango ya elimu kwa mabinti,hawataki mwanamke atibiwe na mwanaume huko mbeleni
Kwa asili mwanamke ni kiburudisho baada ya kazi.Yaan mwanamke kazaliwa kwaajili ya ndoa tu?
Mwa hiyo Girita Hawa Taliban wanatumia sharia Gani kukataza wanawake wasisomeWatu wanaamua mambo yao....wanao umiya ni wakristo wa Tanganyika....ya Taliban waacheni Wao wenyewe kila utawala na sheria zake,hakuna maelekezo yeyote katika uislam yanayomkataza mwanamke kusoma kwani amriya kwanza aliyopewa kiongozi wa Waislamu Bwana mtume S.a.w ni kusoma kabla ya kupewa utume....hutakiwi kuwa mjinga kama watu wanayodhani dini ya kiislamu inawanyima haki wanawake huo ni uongo.
Hao Taliban wanatafuta njia ya kuwatenganisha wanawake na wanaume katika mazingira ya kukata elimu....wanawake wasome kivyao na wanaume kivyao.
Unabisha!! Andika hata google utaona maana hayo madhehebu yenu sio yote nayafahamu.Mbona unapenda uzushi na uongo lipo wapi kanisa la katoliki linafungisha ndoa ya jinsia moja, ebu leta hiyo declaration iliyosainiwa na papa na inayoongesha kanisa katoliki limeruhusu ushoga
Yes lakini point hapa ni nafasi ya mwanamkePakistan ni nchi yenye vurugu kubwa za kidini, makundi mengi ya itikadi kali za kidini yanapata hifadhi Pakistan, Osama pia alikuwa anahifadhiwa huko.
Huwa kuna matukio mengi ya kigaidi Pakistan