Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

unaambiwa sheri za kiislam mke akiwa amelala na mumewe alaf akitaka kujigeuza ni lazima amuombe mumewe ruhusu ya kugeuka, kwaiyo unamwamsha mumeo kisha unaomba ruhusa ya kugeuka .

[emoji4][emoji4] hawa jamaa sijui wapo ulimwengu gan. mke kwao ni chombo cha starehe na kuwalelea watoto wao tu.
Yaani Hawa jamaa ni shida sana Tena sana.
 
Watu wanaamua mambo yao....wanao umiya ni wakristo wa Tanganyika....ya Taliban waacheni Wao wenyewe kila utawala na sheria zake,hakuna maelekezo yeyote katika uislam yanayomkataza mwanamke kusoma kwani amriya kwanza aliyopewa kiongozi wa Waislamu Bwana mtume S.a.w ni kusoma kabla ya kupewa utume....hutakiwi kuwa mjinga kama watu wanayodhani dini ya kiislamu inawanyima haki wanawake huo ni uongo.

Hao Taliban wanatafuta njia ya kuwatenganisha wanawake na wanaume katika mazingira ya kukata elimu....wanawake wasome kivyao na wanaume kivyao.
Wewe raisi wako ni jinsia gani
 
We jamaa unaakili kweli nionyeshe kanisa katoliki au kigango ambalo linafungisha ndoa hapa Tanzania za mashoga, kwa hiyo ndoa zinafungishwa google nikatafute nin google
👉Sibishani nimeongelea wanaofanya wanajumuisha na tamaduni zao ambazo kweny dini hazipo ,sisi wewe mtanzania mwenzangu.

Namaanisha wazungu wanavyofanya kufungisha huko kwao japo ni against na mafundisho ya ukristo.

Nn maana yangu? 👉👉 Tamaduni za watu zinaleta manipulation kweny dini ni mbaya sana kwa bongo hata iweje hakuna jamii inaweza kukubali.
 
WANAWAKE KWENYE UISLAMU NI CHOMBO CHA STAREHE NA MUHAMMAD ALISEMA
  • Wanawake asilimia kubwa wataingia motoni , sababu anasema hawatii waume zao, wanaupungufu wa akili mpaka akasema ushahidi wa wanawake wawili ndio wa mwanaume mmoja, na pia kwa sababu wana blidi kila mwezi
  • Narrated Abu Sa`id Al-Khudri: Once Muhammad (ﷺ) went out to the Musalla (to offer the prayer) of `Id-al-Adha or Al-Fitr prayer. Then he passed by the women and said, "O women! Give alms, as I have seen that the majority of the dwellers of Hell-fire were you (women)." They asked, "Why is it so, O Allah's Messenger (ﷺ) ?" He replied, "You curse frequently and are ungrateful to your husbands. I have not seen anyone more deficient in intelligence and religion than you. A cautious sensible man could be led astray by some of you." The women asked, "O Allah's Messenger (ﷺ)! What is deficient in our intelligence and religion?" He said, "Is not the evidence of two women equal to the witness of one man?" They replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her intelligence. Isn't it true that a woman can neither pray nor fast during her menses?" The women replied in the affirmative. He said, "This is the deficiency in her religion."Sahih al-Bukhari 304
 
👉Sibishani nimeongelea wanaofanya wanajumuisha na tamaduni zao ambazo kweny dini hazipo ,sisi wewe mtanzania mwenzangu.

Namaanisha wazungu wanavyofanya kufungisha huko kwao japo ni against na mafundisho ya ukristo.

Nn maana yangu? 👉👉 Tamaduni za watu zinaleta manipulation kweny dini ni mbaya sana kwa bongo hata iweje hakuna jamii inaweza kukubali.
Point yako ya kwanza ni papa Francis ameruhusu ushoga kitu ambacho sio kweli ni uongo au uzushi, kanisa katoliki halijawahi ruhusu ndoa za jinsia moja
 
Point yako ya kwanza ni papa Francis ameruhusu ushoga kitu ambacho sio kweli ni uongo au uzushi, kanisa katoliki halijawahi ruhusu ndoa za jinsia moja
Screenshot_20221221-113538.png
 
Ni kweli !! wewe ndo hujui.
Onyesha basi hilo kanisa linafungisha hizo ndoa huwezi, tatizo lako uko desperate na una mental issue hio ni tough combination, kwa mtu mwenye akili timamu huwez lazimisha kitu au mtuhumu mtu au taasisi kwa jambo ambalo halipo
 
Nimekuambia nenda kagoogle sina kelele nyingi nikujazie mapicha hapa.. Hujui chochote we fuata mkumbo tu.
 
Nimekuambia nenda kagoogle sina kelele nyingi nikujazie mapicha hapa.. Hujui chochote we fuata mkumbo tu.
We jamaa unavituko mim nikagoogle kitu ambacho hakipo, wewe ndo unatakiwa uniletee huo ushahid wa maandishi (declaration) ukiwa umesigniwa na papa ambao unaoonyesha kanisa katoliki limeruhusu ndoa ya jinsia moja, yaani huwez kuja na maneno matupu alafu utegemee watu wakuamin mambo sio marahisi hivyo
 
Utawala wa Taliban, nchini Afghanistan umetangaza kuwa wanawake hawaruhusiwi kwenda kusoma vyuo vya umma na binafsi.
Sheria hii ni miongoni mwa sheria kali zilizotolewa karibuni dhidi ya haki za wanawake nchini humo na matkeo yake inadhoofisha juhudi za serikali hiyo kufanya watambulike na wafadhili wa kimataifa katika wakati ambao Afghanistan inapitia mzozo mkubwa wa kibinadamu.
Katazo hili la wanawake kwenda vyuo limetolewa siku chache tu baada ya wasichana wa nchini humo kufanya mitihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika mkutano wa kiserikali uliofanyika siku za usoni
Screenshot_20221221-131243.jpg
 
We jamaa unavituko mim nikagoogle kitu ambacho hakipo, wewe ndo unatakiwa uniletee huo ushahid wa maandishi (declaration) ukiwa umesigniwa na papa ambao unaoonyesha kanisa katoliki limeruhusu ndoa ya jinsia moja, yaani huwez kuja na maneno matupu alafu utegemee watu wakuamin mambo sio marahisi hivyo
😂😂😂Kitu kipo
 
Back
Top Bottom