Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

Iran hii hii ya Ayatollah Khamenei?
Ndio Mkuu,fuatilia history utajua ukweli. Iran alifurahia sana Talibani walipoondoshwa na Marekani. Kati ya Saddam Hussein na Taliban,Iran alikuwa anawaogopa Wataliban kuliko Saddam Hussein.
 
Amerika ametumia miaka 20 kupigana na Taliban, zaidi ya $2trillion kupigana na Taliban, wanajeshi wake kufa kupigana na Taliban na kuwa-replace Taliban kwa Taliban (hao hao).

Ndiyo kafanya nini sasa?
Nafikiri US alienda Afghanistan baada ya Taliban kumuhifadhi Osama bin Laden. Osama hayupo na Taliban wamesema hawatowahifadhi magaidi. So US kaona!
 
Back
Top Bottom