Ndio Mkuu,fuatilia history utajua ukweli. Iran alifurahia sana Talibani walipoondoshwa na Marekani. Kati ya Saddam Hussein na Taliban,Iran alikuwa anawaogopa Wataliban kuliko Saddam Hussein.
Amerika ametumia miaka 20 kupigana na Taliban, zaidi ya $2trillion kupigana na Taliban, wanajeshi wake kufa kupigana na Taliban na kuwa-replace Taliban kwa Taliban (hao hao).