Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi.
Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva.
Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu.
Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya Adamu kuwapelekea moto wanyama imekaaje?