Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka 25 Mkazi wa Malunga Manispaa ya Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Janeth Magomi amesema tukio hilo limetokea Mei 27, 2024 baada ya kupokea taarifa toka kwa Mwenyekiti wa kitongoji cha Wendele katika Kata ya Wendele Manispaa ya Kahama uwepo wa mwili wa mwanamke aliyeuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali.
SACP Magomi amesema kuwa katika upelelezi wa awali wa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa Talaka kati ya marehemu na aliyekuwa mumewe ambapo walikuwa na kesi Mahakamani juu ya Talaka ambayo ilikuwa itolewe hukumu yake Mei 28, 2024.
Short-story:
Huyu jamaa maisha yalimpiga ila katika kutafuta ikabdi kuanza biashara ya chipsi mtaani.katika biashara yake kuendelea akapata mfanyakazi wa kumsaidia wa kike ambaye ndio kwa sasa marehemu.
Unajua mambo ya nyota kuendana basi biashara ikaendelea kukua mpaka kufikia kujenga jina kubwa kufikia maisha mazuri.
Watu wengi wa karibu walimshauri kumuoa huyo marehemu sababu ndio wameanza wote na jamaa alikuabri ila pesa inabadilisha watu bwana.
Jamaa kaona sio type yake tena ndio picha lilipomalizikia