Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
Kwa majina naitwa dasp. Nimezaliwa na kukulia mwanza na baadae kuelekea sehemu mbalimbali niki jitafutia elimu baadae ajira.
Kabla na baada ya kuhitimu nilikuw nikijishughulisha na shughuli mbalimbali za kijasilia mali na Ajira za mikataba. nilibahatika kufanya kazi katika taasisi binafsi kadhaa.
Mnamo mwaka 2020 nilibahatika kupata Ajira kwenye kwenye taasisi Moja hapa dar es salaam na kisha kupangiwa kwenye tawi la taasis hiyo lililopo mkoa wa geita na baada ya kufika geita mkuu wa ofisi hiyo alinibadilishia majukumu na kunihamishia mkoani kigoma, wilaya ya kigoma mjini. na hivyo kuanza kuitumikia Ajira yangu mpya. Baada ya miezi sita nilihama sehemu niliyokua nikiishi awali na (Ujiji kata ya buzebazeba) na kuhamia ujiji baada ya kipato kuongezeka kidogo. maisha ya kigoma yalikua rahis na gharama za maisha hazikunisumbua.
Baada ya kuhamia nyumba mpya siku ya pili nilipigiwa simu na namba mpya na sauti nyororo iliyo niondolea uwepo na nikajikuta nashawishika kuisiliza tamaa za kimwili na tabia za hovyo zikauwunda mwili. binti yule aliniomba nikamtembelee mwisho wa week maana nyumbani atakua mwenyewe na hivyo tutapata muda mzuri wa kuzungumza.
Nikajua tayari siku hiyo naenda kupona . aliniomba niende mida ya jioni ili nikute kafanya kazi Zeke za nyumbani. Kama ilivyoanda muda ulivyowadia nikaenda ilikua ni kijiji kilicho nje ya mji na ilinichukua saa 1 kufika kwa usafiri wa boda boda.
Nilivyofika nilimkuta mwenyeji ananisubiri na tukaambatana pamoja kuelekea anapoishi. Binti yule alojipulizia marashi ya kuvutia na baibui ya sikuweza tambua rangi maana ilikua kiza.
Nilivyofika nyumbani tuliongea kwa muda baadae aliniomba aende shortcall mara moja.
Baada ya nusu saa kuisha ilinibidi nitoke nje kumwangalia chaajabu sikuona mtu na mazingira yalikua tofauti kabisa hapakua na umeme na wala dalili za kuwepo kwa nyumba jilani nilizunguka sehemu lie bila kuona mtu, wala njia ya kurudi nyumbani, tangu usiku wa saa mbili nilizulula bila mafanikio mpk majira ya swala ya adhuhuri saa 11 nikajikuta pembezoni mwa uwanja wa ndege.
Itaendelea........

Upvote
2