Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

mimba sitolea hapa hadi mtoto azaliwe, na labda gharama za mwishoni , kumbuka yupo tayari kupima DNA
Umeshalikiroga mzee! Hivyo hakikisha unalinywa! Wanaume walio kamilika, siku zote huwa hawaogopi majukumu.

Lea ndoa hiyo mwanzo mwisho. Wenzako tulifanya makosa ya aina hii, lakini leo tunafurahia kusomesha na pia kuitwa baba.
 
Labda ni dalali anavuna asipopanda anapanda asipovuna.
 
mimba sitolea hapa hadi mtoto azaliwe, na labda gharama za mwishoni , kumbuka yupo tayari kupima DNA
DNA za bongo kwetu zinatoa majibu ya kweli kwenye kupima mambo ya madawa ya kulevya, miili ya marehemu na mambo mengine kama hayo, ila likija swala la mtoto hata kama sio wako kabisa, majibu yakwambia ni wako!

Nilipima mtoto ambaye kwa asilimia 90 nilikuwa na hakika sio wangu, majibu yakaja kwamba mtoto ni wangu!

Nikachukua muda wa kama miezi 7, nikaenda kupima na singo mother mmoja ambaye sijawahi hata ku-date naye, nikamlipa 100,000 ili kunisaidia ku-verify vipimo vya mtoto hapo kwetu!

Lahaulaaa, majibu yakaja eti MTOTO NI WANGU, yule dada alishangaaa mno, nikapata jibu kwamba ofisi ya mkemia linapokuja swala la mtoto ipo sensitive sana kulinda maslahi ya mtoto, ili tu asijekosa malezi!

Kama unabisha jaribu kwenda kupima na uta-prove hiki kitu!
 
Yaliyokukuta ni kama ambayo yaliwah kunikuta mimi sahv niko na watoto wa wawili kwa mama tofaut na mimi huwa siwez kukimbia majukumu,mpango wangu ilikuwa niwe na watoto kuanzia 2030,demu wa kwanza niliamini ana matatizo ya kutokushika mimba kumbe ilikuwa ni mchango tu,ile nimemuita aje nikae nae nifaid mbususu kaamua kutafuta dawa ya kutoa tatzo hilo yaan alifika tu ndani ya miez miwili akawa na mimba

Kwasasa wanawake niko nao makini sana ni heri nisipate raha kamili kwa kutumia kondom lakin niepuke kuwa na watoto wengi tena kwa mama tofauti

Kwa mwezi kuzihudumia hiz familia mbili kananitoka kahela kazur kabisa
 
Ni issue ya kiusalama pia anaweza kufa mtu. Viongozi wengi nchi hii wamesaidiwa majukumu yao na mashamba boy. Fikiria waziri fulani akigundua mtoto sio wake ni wa shamba boy au dereva wake hali itakuwaje? Sheria ya mababu zetu ya kitanda hakizai halamu bado inatumika kwenye DNA
 
Hao watoto wawili una uhakika ni wako ? Tuanzie happy kwanza,
 
Kama alijichomeka makusudi,just block her akitumia namba nyingine mute TU.....atatoa TU kama ni kweli anayo.Huruma itakuponza....mtu wa kupita tunafanya just for fun ....ashanusa upole wako don't reply any text from her....yaan any๐Ÿ˜–
 
Watoto ni baraka...ukichanganya tena,anakuja wanne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ