Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

Hapo umepigwa, huyo katembea huko na mtu wake kaona kipato kidogo kaja kwako kusema alijjisahau! Sasa alijikumbushaje baada ya kumchakata kwa siku Tatu? Mjini akili mtu wangu.
 
ndoa haipo hapa mzee, kinachonichanganya kama kweli mtoto atakuwa wangu itakuwaje hapo badae , yaani siwezi kimbia huduma za mtoto,
Huyo mchaga kakutathmini kaona hapo Kuna hela, kakuletea ka mimba ka wiki moja ukamwagilie.
 
Kama alijichomeka makusudi,just block her akitumia namba nyingine mute TU.....atatoa TU kama ni kweli anayo.Huruma itakuponza....mtu wa kupita tunafanya just for fun ....ashanusa upole wako don't reply any text from her....yaan any[emoji37]
Asee mwanamke unatoa huu ushauri?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Asee mwanamke unatoa huu ushauri?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Yeah,ndo maisha yanavyoenda cute....huwez mtega mwanaume afu ugome tumia p2...mwanaume mpita njia.😳
 
Nimeshangaa na kustaajabu[emoji848][emoji848]

Yaan hata wanaume waliokomenti hakuna aliyetoa hili wazo[emoji848]
Binadamu hatufanani,Hata mwanangu akikua siwez muhurumia akifanya ujinga kama huu....nimejifunza Haya kutokana na Mimi ....hakuna mwanaume anaetulazimisha kusex nae....hakuna....yote ni makosa yetu kukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…