Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

Siku hizi mtu kupata mimba ni kujitakia, pharmacy zimejaa ma p2 yanamezwa hata siku 2 zikipita tangu uchakate, hapo umepigwa
 
Yaani mpaka unalala nae bila kinga unakuja tudanganya hapa kuwa hauelewi?
 
Kwa hiyo huyo mtoto ambaye DNA imesema ni wa kwako lakini una mashaka naye ulifanyaje baada ya hapo?unaendelea kulea au ulikata rufaa mkuu
 
Pole Sana mkuu,
Humu Jf Ni kisima Cha maarifa
Nna iman utashauriwa vzr
Mi mwnyw najilinda sn nisipate mtt wa nje Maana kila Mchepuko Wangu unataka tuzae nakwepa
Yes ndivyo inavyotakiwa.
Kwenye haya mambo lazima uwe mjanja na sio kujiachia tu kwa sababu ya kupata utamu wa dakika 3.
 
Umebambakiwa mimba kizembe sana. Elewa huyo mtoto si wako bali umepangwa na ukapangika na kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Mkane huyo mdada na mimba yake hapa duniani hadi akhera
 
Wanaume huruma huwa inatuponza sana na kushindwa kufikia ndoto zetu
 
[emoji28][emoji28]wanatujaza upepo,wahuni sio watu wazuri
😂😂Eeh umenkumbusha story flan.
Enzi zile za shule form 4 kulikuwa na ticha mmoja anatoaga homework halafu anafuatilia knoma.
Yeye alikuwa ana stail mkikusanya madaftari ya homework akisahihisha anakuja nayo darasani alafu anaanza kuita majina unachukua daftari unabaki mbele pale.
Sasa watakaobaki wamekaa inamaana hawakukusanya homework ni mwendo wa stiki na kwenzi tu.
Sasa skuiyo mimi sjafanya homework niko zangu na backbenchers wenzangu nataka nitorokee dirishan ila nkawa nauliza kama kuna ambao hawajafanya ili tubaki (msiba wa wengi sherehe😅)...Dah wahuni kama wote wakawa wanasema hawakufanya so nkaona aaah kumbe hamna soo tupo wengi apa nsitoroke.

Huwezi amini ticha kaanza kuita majina ya watu, nashangaa wahuni mmoja mmoja anaitwa anabaki mbele.
Nkawa naangalia kulia na kushoto, kila naemuangalia anaitwa kuchukua daftari😂
Afu walivokuwa mafala, akiitwa anaenda kwa mwendo wa kudunda😂
Dah mwisho nkabaki mwenyewe nmekaa darasa zima liko mbele halafu wahun wanancheka kinoma..

Dah sku iyo nlichezea stiki stasahau😂😂
 
nashukuru kwa ushauri wenu, nilikuwa nimepanic sana , sasa akili yangu imeanza kupata utulivu, solutions la jambo hili nimeanza kuipatab, baada ya mawazo kunizidia niliamua kuandika humu, kushirikisha watu wangu wa karibu na wazee wangu na nimepewa haya na ndio ntakayofanyia kazi , 1. wazee wameniambia sina sababu ya kuamini mimba ni yangu kwa sasa na sitakiwi kumpatia huduma yoyote ya kifedha huyo mwanamke hadi hiyo itakapofikisha miezi saba(7) 2. atakapofikisha hiyo miezi 7 nimpeleke kijijijini kwetu hadi atakapojifungua , wameniambia wao wanawajua watoto wao na wasio wao , so itabaki hivo kwa sasa ,
 
Kwenye swala la kupima, malegeng tuwe tunawapima na mimba kabla ya game. Itatusaidia.
 
Sasa ulitegemea nini?.yani ufanye halafu matokeo hutaki?.uliwaza ukimwi tuu why hukuwaza mimba isiyotarajiwa ukavaa cdm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…