Tamaa zinaenda kunipa mtoto wa tatu

Sasa mzee hutoi huduma na unategemea kumpeleka mtoto kwa wazee wenu ? Pia mtoto kujifungulia kijijini ni risk upande wa afya,
Upande wangu nakushauri ufanye yafuatayo
1. Toa pesa ya matumizi ila iwe modest tu usizidishe, toa vitu basics tu eg unampa hela ya chakula labda na kodi
2. Akijifungua salama akitoka tu hospital nenda nae kijijini wazee wakaseme chochote kitu

Mtoto akizaliwa ni wako na ulimtelekeza mama yake regrets zake ni kubwa kuliko hasira za kutoa pesa ya kuhudumia mimba

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Vipi alijifungua mtoto wa kiume au wa kike? halafu mbona unarisk maisha yako kwa starehe za mpito??

Umempima HIV ukaona yupo salama, Je ulimpima Homa ya Ini? Je ulimpima gono, kaswende, pangusa, kisonono na magonjwa mengine ya zinaa??

Siku zote tumia Condom kijana kwa watu wa namna hiyo usiowajua vema.
 
Hatari sana!
 
huyu mwanamke sasa namhudimia kila kitu, nimetafta mfanyakazi,nimeishalipa kodi za nyumba , mimba ina miezi sita kakomaa tu kuwa ni yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…