mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Naenda kupata mtoto wa tatu na mwanamke ambaye sikuwahi fikiri nitazaa naye!
Ipo hivi mwaka jana katika safari zangu za biashara nilijikuta nalala hotel moja Mbeya, sababu ya kulala hapo ni ubora wa huduma zao na unafuu wa gharama zao nikilinganisha na wengine kwa hapo Mbeya. Kwahiyo baada ya kulala hapo nikajikuta nimepapenda na nikawa ni mteja kila nikipita Mbeya nalala hapo.
Picha ilianza hivyo, kiufupi mimi siyo mtu wa totoz, kiufupi sihangaiki nao (nimewahi kuomba ushauri hapa Umri unaenda sipati hamu ya kuoa. Kiasili mimi si mtu wa wanawake kivile nikijilinganisha na jamaa zangu ambao wao ngono kama msosi kwao.
Mtu mmoja wanawake kumi na anawamudu, nirudi kwenye habari yenyewe.
Kila nikitoka zangu safari nalala hapo tena nalala kinyonge (pekeyangu), sichukui mwanamke wala nini. Ikatokea mhudumu mmoja dada wa kichaga, nilikuja kumfahamu kama ni mchaga kwa lafudhi na maelezo yake mweyewe, sijui ilikuwaje kuwaje binti wa kichaga akatokea kunizoea, na kitu ambacho pia sikitaki kwenye maisha yangu ni mazoea na wanawake na watu nisiowafahamu.
So tulijikuata tunafahamiana vizuri, na safari moja akaniomba namba ya simu na kuniambia namba hajachukua kwenye register book ili awe huru kunipigia, ilibidi nimpatie (niliona noma kumnyima namba mtoto wa kike tena mzuri kweli.
Siku nimerudi zangu Njombe kazini mara anipigie simu anauliza kaka familia yako wazima, mara nina shida naomba unifundishe kilimo unacholima (huwa siku zote naandika mkulima).
Hii hali ilianza kunishitua kidogo kuwa huyu binti anataka nini sana kwangu, kwaiyo siku moja niliamua kumtania tu na kujaribu kujaribu kuwa namjali. Ile kumtania tu akinifungukia kuwa alitamani muda mrefu toka mwaka jana niwe naye kwa sababu hana mtu kwa kipindi hicho chote, nilipomuliza upo tayari kupima ngoma akaniambia nipo tayari, mara akaomba nimtumie nauli aje huku kwangu.
Nilijaribu kumzuga kuwa mimi huku nina familia hivyo haitawezekana yeye kuja, baada ya kumwambia hivyo akangua kilio. Kibanadamu nilingiwa na huruma nikajiwazia nguvu za kiume ninazo tena nyingi sana (kula vitu asili na kazi za shamba zimenifnya nisiwe na kitambi) na nguvu sizitumii ngoja nimchake tu. Nilimtumia nauli mwezi uliopita alikuja hadi hapo Makambako.
Nilipita naye kwenye lab moja nikampima HIV, baada ya majibu nilitafuta chumba hapo MK nikalipa siku tatu Ijumaa, Jumamosi na Jumapili. Basi nilimchakata siku zote hizo tatu, cha ajabu Jumamosi ananiambia alijisahau kwa sababu alikuwa hana mtu kiufupi yupo kwenye siku zake za hatari, na kuniambia akipata mimba hatoi!
kiufupi ilinichanganya kiasi kwa sababu sikuwahi fikiri kama nitapata watoto kwa mama tofauti. Basi tumekaa mwezi umeisha ananipigia simu anajihisi ana mimba na kama siamini kuwa mimba ni yangu tukapime DNA. Hili limenichanganya sana, kwasaabu kama atazaliwa mtoto haikwepeki lazima nitahudumia.
Pili ni aina ya mwanamke simfahamu hata vizuri, je, akijifungua nitamwacha abaki hapo hotelini? Yaani mama wa mwanangu awe na kipato cha kukadiriwa mshahara (mwenyewe alishaniambia kuna mwezi wanalipwa mshahara wote biashara ikiwa nzuri, kuna muda wanalipwa hata robo kama mambo ni magumu).
Je, kwa kazi kama hiyo ntafanyaje mimi si huyo mtoto ataishi maisha magumu nikimwachia mama mtu? Je, nitaweza kuwa na wanawake wawili (sababu huyu niliyezaa naye watoto wawili lazima niishi naye hapo baadaye)? Je, itakuwaje kama atajifungua salama, si atakuwa mtoto wa tatu, je, atakuwa mtoto wa mwisho maana dream yangu ilikuwa ni watoto watatu?
Kiufupi sielewe elewi!