Benny
JF-Expert Member
- Jun 6, 2014
- 3,275
- 5,404
Kweli mkuu uandishi kilinge hakuna wa kuandika kama wao...kwenye beat napo sometimes blaza Duke anakaza sana inakua too muchHahaha, hawa jamaa hususani nikki, one, zaiid nawaelewa sana kuanzia flow, uandishi na kila kitu...they know how to stick on the beats though beats zingine wanazingua.