Soga za mzawa
Senior Member
- Oct 27, 2017
- 159
- 186
Hivi mpaka STERIO?Mvuta bangi aisee Hii nadhalia yakusema HIP HOP inambatana na wavuta bangi au madawa kulevya imeathili sana huu utamaduni lli upinde fleva ipate wadau zaidi kuliko huu utamaduni wa HIP HOP Kwa makusudi kabisa laiti kama HIP HOP Ingesaminika ingesaidia kubadilisha mitazami mingi kwenye jamii husikaHicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao
Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world
Itaendelea
TAMADUNI MUZIKI
VITENDO DHIDI