Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

Hicho ni kikundi Cha wahuni ambao baada ya kuvuta bangi hujiona wao ndio wanajua hip pop kuliko waanzilishi wa hip hop.Kiufupi bangi hawaiwezi wengi wao

Kamwe hawaelewi hip hop ni fasihi inayokuwa na kubadilika ndio maana hata wengine wanasema misingi ya hip hop imeongezeka. lakini wao wanakomaa na muziki wa BC na kujiona ndio wamililiki Halali na waanzilishi wa hip hop all over the world

Itaendelea
Hivi mpaka STERIO?Mvuta bangi aisee Hii nadhalia yakusema HIP HOP inambatana na wavuta bangi au madawa kulevya imeathili sana huu utamaduni lli upinde fleva ipate wadau zaidi kuliko huu utamaduni wa HIP HOP Kwa makusudi kabisa laiti kama HIP HOP Ingesaminika ingesaidia kubadilisha mitazami mingi kwenye jamii husika
TAMADUNI MUZIKI
VITENDO DHIDI
 
Kontawa nae ni TAMADUNI... kama kweli amepita TAMADUNI basi alitoka sifuri..

Mbishi
Songa
One the incredible
P mawenge
Stereo
Kadgo
Boshoo
DIZASTA VINA
N.k
TAMADUNI wametoa watu wengi wanaojua hip hop.. japo hawapo mainstream

Kwahiyo wale wasikiliza redio watupishe kwenye hii mijadala
 
Ongeza hapo
DUBO
MANSULI
AZMA MPONDA
NASH MC
LIL K Kwa sasa(YOUNG KILLER)
ZAIID
na Baadaye movement wakafata
BOSHOO NINJA
BOKONYA
MAARIFA BIGTHIKER
MO RYHMES
(hawa walijiita maskatiaz)
WAKIAFRICA
KINYA MISTARI
Ila wapo walioibuliwa kiharakati kupitia Movement nyingine za kiharakati kama(OPEN MIC,CITY RAP BATTLE,KINASA n.k)
BLACK MC
STAN RYMTHES
TOXIC FUVU
JACO JEEZY
MANTIKI LOGIC JERRY
RABI JAMES
MBEYA BOY CHUMA(East Africa walimuona kupitia CITY RAP BATTLE)
KAD KITENGO n.k
Nawapo Mc namarapa wengi walipitia ama walienda kupigwa msasa pale kuhusu nadharia ya UTAMADUNI WA HIPHOP
TAMADUNI MUZIK
VITENDO DHIDI YA MANENO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.

Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,

*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge
*Kado kitengo
*Wakazi
*Dizasta vina
Nk.
hawa ni wanaofanya vizuri kwa sasa,
Wapo vijana wengi wamepitia TM kupigwa msasa na matumaini yangu tutaendelea kuwaona wakiibuka wengine
Wakazi vizuri wapi? Hebu taja nyimbo yake moja tu aliyoitoa mpaka ukafikia kusema anafanya vizuri kwasasa?

Kuandika kule twitter ndo kufanya vizur?
 
Itoshe kusema unaijua hip hop game ya bongo
 
P mawenge angetafuta management iliyo imara imsimamie apate brand la sivo ataishia kusifiwa na Wana make anajuwa sana.Sijuwi kama Kuna Rapper anaweza kumfikia huyu dogo.
 
Tafuta nyimbo ya mama mjane y pmawenge siliza vina na ule ujumbe ndo utajua bongo vipaji vinapuuzwa
 
Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle.

Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku,

*Kontawa
*Maarifa
*Toxic
*Pmawenge
*Kado kitengo
*Wakazi
*Dizasta vina
Nk.
hawa ni wanaofanya vizuri kwa sasa,
Wapo vijana wengi wamepitia TM kupigwa msasa na matumaini yangu tutaendelea kuwaona wakiibuka wengine
Vitendo dhidi ya maneno mkuu
 
Wakazi vizuri wapi? Hebu taja nyimbo yake moja tu aliyoitoa mpaka ukafikia kusema anafanya vizuri kwasasa?

Kuandika kule twitter ndo kufanya vizur?
'Amka Mtanzania' ngoma ya tamaduni Muziki humo wakazi ameua sana ila wengi mnamchukulia poa kwa kukosa hit songs
 
Hao tusiwape maua, tuwape bangi. Hamna mwenye akili humo
Kwenye hilo kundi kuna ata mmoja ulieskia kuwa amechapiwa mke wake na kambambikiwa mtoto?

Kama hujaskia basi ujue hao wavuta bangi wana Akili kuliko wewe
 
Back
Top Bottom