central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Nasikiaga tu,TAMADUNI, TAMADUNI, yawezekana nyimbo zao nazisikilizaga ila sijui kama ni wao.Waangalie soko,tafadhari.Muziki ni PESA.
Kipaumbele chao kili feli... Now wapo more stressedKila mtu ana kipaumbele chake mkuu.
Tuambie kipaumbele chao kilichofeliKipaumbele chao kili feli... Now wapo more stressed
Walipo leo ndio matokeo ya kifeli.Tuambie kipaumbele chao kilichofeli
Walipo leo ndio walipokuwa siku zoteWalipo leo ndio matokeo ya kifeli
Tafuta let it be ya songa utakuja na majibuBado natafuta collabo kali zaidi ya hii KILA SIKU ya Nikki Mbishi,Godzilla,One na Belle 9.
.
Kuna Collabo yoyote kutokea tamaduni music inaweza kuwa zaidi ya hii...
Achana nae lavalava huyoTuambie kipaumbele chao kilichofeli
Nayo kaliJemadari
Kali sana.Nikki mbishi ,godzilla,cliff mtindo -kill yourself hv ike ngom jaman mnaionaje wazeeπ₯π₯π₯
Dizasta Vina ni zao la ngapi la Tamaduni Music.. Maana si mfahamu mtu huyu