Tamaduni Music

Tamaduni Music

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
Bado natafuta collabo kali zaidi ya hii KILA SIKU ya Nikki Mbishi,Godzilla,One na Belle 9.

Kuna Collabo yoyote kutokea tamaduni music inaweza kuwa zaidi ya hii?

Nikki kaumiza...Zizi hatari(r.i.p) Uno kapita fresh. Chorus ya Belle 9🙌🏻🙌🏻

Kuna Collabo kali zaidi ya hii kutokea Tamaduni Music kweli?...

Forgive me.
 
Nasikiaga tu,TAMADUNI, TAMADUNI, yawezekana nyimbo zao nazisikilizaga ila sijui kama ni wao.Waangalie soko,tafadhari.Muziki ni PESA.
 
ipo mkuu, inaitwa IMPECCABLE ni ya hao majamaa kama hujaiskiza fanya kuitafta hutojutia
 
Tuambie kipaumbele chao kilichofeli
Walipo leo ndio matokeo ya kifeli.
Walitaka kulilisha soko product waliokuwa wanatoa wao.

Jirani ya Zaidi alikuwa anafanya midondoko yao bila mafanikio kaswitch kwenye Trap na ngoma ya Wo wo wo. Impact yake ilionekana kitaifa hata mifukoni mwa Zaidi.

Miaka michache kidogo ONE aliojiwa XXL alionekana ni mtu mwenye stress sana. Mwenyewe alikili kuwa hayupo vizuri financial na kumshukuru sasa dada rose anaempa mishe za hapa na pale zinazomuwezesha kukusanya mia 2 mia 3
 
Mlinunua album zao au ndio mashabiki maandazi
1687466897296.png



FB_IMG_1687466940462.jpg
 
Back
Top Bottom