Tamaduni Music

Niliona interview moja wazungu wanafanya documentary kuhusu muziki wa kisasa Tanzania, kipindi wako Arusha kuna chalii mmoja dread kauwa mbaya Dar es salaam yaani. Eti wale wanaimba Bongo Fleva lakini Arusha hiphop.
Hiphop Africa! Ulaya wenyewe wamechemka, huo ni muziki wa wamarekani
 
Wanafanya mziki kuwaimbia masela kitaa na machizi badala ya kuwaimbia mademu na pesa ili wapate pesa. Saivi wamebaki kusifiwa mtaani huku mifukoni patupu.
Mziki unalipa.
 
Collabo nyingine Kali ni PATA RAHA
Nikki, One, Stereo chorus Ben pol
 
Kuna chuma kinaitwa TAMADUNI NATION,humo ndani vipo vichwa kama Clint Fierce P Mawenge, Ghetto Ambassador na Mad Kichaa.
 
Pia kina chuma kinaitwa AMKA TANZANIA,humo kuna vichwakama Uno,P Mawenge,Samaki mwenye kiu ndani ya maji,Wakazi,Zaiid Yao,Unju,Singa Singa. Ni balaaa zito[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Unatakaje yani? Huku waliko ndiko tunakotaka wawe,huko unakotaka wawepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…