Tamasha la bongo flavour honours ni la kibaguzi na kimkakati

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
Wakuu I salute you kinsmen.

Hilo tamasha la fid Q na madee naona wasanii wakongwe baadhi wanalalamika kuwa hawajaitwa au kubaguliwa ikiwa sifa walikuwa nazo.

Sawa hawawezi kuitwa wote ila kwanini mpaka walioomba nao hawakuitwa?

Makamua anadai aliomba kuitwa akampigia madee ila akaambiwa wamejaa.

Hardmad ambaye alimpokea fid q dar akampeleka studio mwenyewe leo Anaambiwa pamejaa pia

Anadai alimtafuta madee na akamwambia pameshajaa, wakati fid nae anatolia ufafanuzi kuwa hakujua kama Hardmad alimpigia madee na madee anakana hajatafutwa.

Hapa kinachoonekana ni tamasha la madee na washikaji zake tu na uchawa wa yule mama basi.

Kama limejaa mbona wanaitwa wasanii wa nje halafu wa ndani wanawapiga chini?

Hata kama Hardmad ana nyimbo mbili lakini ni kali inatakiwa zisikike.

Fid anasema pia hapo walipo wanataka kuwapunguza watu maana hawajui hata wataperfome vipi,

Sasa waliwaita wengi wa nini? Ikiwa hawajui hata wataperfome kwa muda gani kila mmoja?

Kama vipi apungue yeye pia awaachie wachache.

Alisema alimcheki TID ila jamaa akamwambia yuko busy na show zake,
Hapo TID alisanuka mapema sana hilo tamasha ni la kijani tupu humo mama atatajwa sana sikuhiyo na yule mzee wa kukanusha mitandaoni lazima atakuwepo siku hiyo kupiga simu siku hiyo.

Wameshaharibu tamasha mapema sana

Hilo sio tamasha la BONGO FLAVOUR HONOUR ambalo ni la SUGU.

Hilo tamasha ni miaka 30 ya Bongo Flavour..
 
Waandae lao
 
Back
Top Bottom