Tamasha la bongo flavour honours ni la kibaguzi na kimkakati

Tamasha la bongo flavour honours ni la kibaguzi na kimkakati

Sponsor kuanzia advartisement,maandalizi na posho ndio maana Wana tour Kama ya mikoa 15 hivi Kama mambo yataenda sawa
Sasa kwanini kama hao kina hardmad wasipewe platform mikoani mfano kwao mwanza ana mashabiki bado wengi tu?
 
Hakuna cha siasa hapo isipokua hiyo ni biashara kama biashara zingine hivyo wamelengwa zaidi wasanii ambao bado wana impact kwenye jamii (fan base kubwa) hao wengine ukiangalia ni kama wamesahaulika kabisa na mashabiki.
 
Platform ipi ambayo anaweza kuanzisha hardmad na ukaenda viral?
Ameisha mkuu na ndio maana analilia hata hio spotlight ndogo
basi awe mtu wa kukubaliana na hali kwamba wakati wake umepita.
asijitafutie mapresha kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wake
 
basi awe mtu wa kukubaliana na hali kwamba wakati wake umepita.
asijitafutie mapresha kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wake
Nikuulize wewe mkuu Kati ya hardmad wa tamala na daz baba wa elimu mtaani Nani tumuache na Kama mzani upo sawa kwanini daz baba anaitwa halafu hardmad ametemwa...?.

Ndio maana Brother jongwe alisema hii callup imejaza wasanii wa bongo record tu,sio sawa
 
honestly speaking sijawahi kuuelewa mziki wa Hardman so naweza nisiwe na fair judgement kwenye hilo
ila nachoweza kuwashauri watafute platform zao ili wawe na ujasiri wa kujimwambafy, na sio lazima wapate kikubwa.
 
Nikuulize wewe mkuu Kati ya hardmad wa tamala na daz baba wa elimu mtaani Nani tumuache na Kama mzani upo sawa kwanini daz baba anaitwa halafu hardmad ametemwa...?.

Ndio maana Brother jongwe alisema hii callup imejaza wasanii wa bongo record tu,sio sawa
Ndio hapo sasa

Nani asiyoijua Tamala Tanzania hii? Nani?

Hao jamaa wabaguzi hawana lolote otherwise wakifika mwanza ndio labda wamuite
 
Si lazima kuitwa, hiki nalo wakubali tu.

Na wao wanaweza kuanzisha yao wakaitana wanavyotaka.

Kwani tatizo nini nchi ya vyama vingi hii?
 
Wazo zuri ila tamasha lifanyike Kwa kujirudia walau mara Moja kila mwezi, wakina CELINE DION Hadi kesho wanasimama one person stand kwenye arena au football ground kubwa na WANAJAZA hapa tunakimbilia mlimani city kwanini isiwe leaders, au uwanja mkubwa wowote, alafu linge tembea mikoa walau mitano tu ili kutoa nafasii Kwa wasanii wengine kuperform bila ubaguzi
 
Sio kila jambo linahitaji mjadala, hiyo ni biashara wanaenda kufanya, kama wameshindwana watajuana wenyewe.

Huyo unaemtaja aandae tamasha lake apige nayeye pesa zake
 
Back
Top Bottom