Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
Kama walijua hilo kwanini waite wasanii wengi hivyo mpaka wa nje?Shida watamaliza saa ngapi?.
Kama ingekuwa ina pangwa kila mwezi hapo sawa
Sidhani kama ipo chini ya azamHivi hii ndo ipo chini ya azam media..?
Kuna moja naona wanaitangaza sana nikajua ndo hiloSidhani kama ipo chini ya azam
Hivi hii ndo ipo chini ya azam media..?
Jibu ni ndiyo linadhaminiwa na Azam Media kupitia Redio yake ya UFM, nk. Hata jana mchana niliwasikia wakiwahoji hao akina Fid Q. Kwa hiyo siasa zitakuwepo tu.Sidhani kama ipo chini ya azam
Madee inaeleweka kabisa mtu wa namna gani na ndio mmoja wa waanzilishi wa hiyo issue tutegemee nini?Mnakumbuka siku sugu amewabania kuongea jukwaani uchawa wao? Pale ndo walikurupuka na huu mkurupuko wao, fid na Madera ni machawa wanna be sema ni washamba by nature (default)
Mtu kama madee unategemea nini hapo?Jibu ni ndiyo linadhaminiwa na Azam Media kupitia Redio yake ya UFM, nk. Hata jana mchana niliwasikia wakiwahoji hao akina Fid Q. Kwa hiyo siasa zitakuwepo tu.
Analalamika lakini ana hojakuna watu wanapenda kulalamika kwenye kila kitu
Ipo chini ya Azam mkuuSidhani kama ipo chini ya azam
Kumbe? So azam ndio founder au wao ni sponsors tu?Ipo chini ya Azam mkuu
mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningeanzisha platform yangu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.Analalamika lakini ana hoja
Sponsor kuanzia advartisement,maandalizi na posho ndio maana Wana tour Kama ya mikoa 15 hivi Kama mambo yataenda sawaKumbe? So azam ndio founder au wao ni sponsors tu?
Platform ipi ambayo anaweza kuanzisha hardmad na ukaenda viral?mimi ningekuwa kwenye nafasi yake ningeanzisha platform yangu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo.
huwa wanasema usipoalikwa usijialike.
Hilo sio tamasha la BONGO FLAVOUR HONOUR ambalo ni la SUGU.Wakuu I salute you kinsmen.
Hilo tamasha la fid Q na madee naona wasanii wakongwe baadhi wanalalamika kuwa hawajaitwa au kubaguliwa ikiwa sifa walikuwa nazo.
Sawa hawawezi kuitwa wote ila kwanini mpaka walioomba nao hawakuitwa?
Makamua anadai aliomba kuitwa akampigia madee ila akaambiwa wamejaa.
Hardmad ambaye alimpokea fid q dar akampeleka studio mwenyewe leo Anaambiwa pamejaa pia
Anadai alimtafuta madee na akamwambia pameshajaa, wakati fid nae anatolia ufafanuzi kuwa hakujua kama Hardmad alimpigia madee na madee anakana hajatafutwa.
Hapa kinachoonekana ni tamasha la madee na washikaji zake tu na uchawa wa yule mama basi.
Kama limejaa mbona wanaitwa wasanii wa nje halafu wa ndani wanawapiga chini?
Hata kama Hardmad ana nyimbo mbili lakini ni kali inatakiwa zisikike.
Fid anasema pia hapo walipo wanataka kuwapunguza watu maana hawajui hata wataperfome vipi,
Sasa waliwaita wengi wa nini? Ikiwa hawajui hata wataperfome kwa muda gani kila mmoja?
Kama vipi apungue yeye pia awaachie wachache.
Alisema alimcheki TID ila jamaa akamwambia yuko busy na show zake,
Hapo TID alisanuka mapema sana hilo tamasha ni la kijani tupu humo mama atatajwa sana sikuhiyo na yule mzee wa kukanusha mitandaoni lazima atakuwepo siku hiyo kupiga simu siku hiyo.
Wameshaharibu tamasha mapema sana
Waandae laoWakuu I salute you kinsmen.