Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
- Thread starter
-
- #21
Sasa kwanini kama hao kina hardmad wasipewe platform mikoani mfano kwao mwanza ana mashabiki bado wengi tu?Sponsor kuanzia advartisement,maandalizi na posho ndio maana Wana tour Kama ya mikoa 15 hivi Kama mambo yataenda sawa
basi awe mtu wa kukubaliana na hali kwamba wakati wake umepita.Platform ipi ambayo anaweza kuanzisha hardmad na ukaenda viral?
Ameisha mkuu na ndio maana analilia hata hio spotlight ndogo
Yes ndio maana Kama ulimskia madee Jana alijitetea kwamba hardmad ataitwa kwenye session zinazokujaSasa kwanini kama hao kina hardmad wasipewe platform mikoani mfano kwao mwanza ana mashabiki bado wengi tu?
Nikuulize wewe mkuu Kati ya hardmad wa tamala na daz baba wa elimu mtaani Nani tumuache na Kama mzani upo sawa kwanini daz baba anaitwa halafu hardmad ametemwa...?.basi awe mtu wa kukubaliana na hali kwamba wakati wake umepita.
asijitafutie mapresha kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wake
honestly speaking sijawahi kuuelewa mziki wa Hardman so naweza nisiwe na fair judgement kwenye hiloNikuulize wewe mkuu Kati ya hardmad wa tamala na daz baba wa elimu mtaani Nani tumuache na Kama mzani upo sawa kwanini daz baba anaitwa halafu hardmad ametemwa...?.
Ndio maana Brother jongwe alisema hii callup imejaza wasanii wa bongo record tu,sio sawa
Ndio hapo sasaNikuulize wewe mkuu Kati ya hardmad wa tamala na daz baba wa elimu mtaani Nani tumuache na Kama mzani upo sawa kwanini daz baba anaitwa halafu hardmad ametemwa...?.
Ndio maana Brother jongwe alisema hii callup imejaza wasanii wa bongo record tu,sio sawa
Linahusu nini namie wa huku Ikwiriri ndaniindani walau nielewe??????