Tamasha la kahawa lilifanyika kwenye uwanja wa HALO mjini Shenzhen, China tarehe 5 mwezi huu likikutana na sikukuu ya jadi ya Duanwu ya China. Tamasha hilo lililoanza Mei 50 limetoa fursa kwa wenyeji kutulia na kujifurahisha, ikiunganisha shughuli mbalimbali za kahawa, pikniki na masoko.