Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+
Tamasha kama hili linawasaidia nini?