Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+
Tamasha kama hili linawasaidia nini?
Ni mkusanyiko wa machawa na wale waliokatwa mikia.Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+
Tamasha kama hili linawasaidia nini?
Lina umuhimu mkubwa sana kiuchumi na kijamii katika eneo lote la maziwa makuu 🐒Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+
Tamasha kama hili linawasaidia nini?
Umuhimu na msaada wake ni ule wa kuwafanya chawa wa mama kuonekana hadharani. Ikifika 2030 utashangaa linakufa kifo cha mende kama ule uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chato, uliotelekezwa baada ya....Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.
Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini.
Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+
Tamasha kama hili linawasaidia nini?
Hakuna same playbook na Gbadolite na ChatoNataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa.