ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia wanapelekwa kizimkazi kucheka na kutaniana wakati nyumbani Ngara watoto hawana madawati, vijana hawa ajira, hakuna hospital, maji ya kunywa n.k
Awamu iliyopita kila kitu kilikuwa Charo Sasa naona Kizimkazi inapendelewa zaidi kuliko sehemu nyingine Tanganyika
Hili tamasha limefutwe halina tija