Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna kula halua za mazer.Kula bata kizimkazi
Hahahahaha tukanywe lubisiMwakani itakuwa
Twendeni Ngara
viongozi wa tamasha wamefanya mahojiano na azan tv jana asubuhi na kika kitu wameweka waziKizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia wanapelekwa kizimkazi kucheka na kutaniana wakati nyumbani Ngara watoto hawana madawati, vijana hawa ajira, hakuna hospital, maji ya kunywa n.k
Awamu iliyopita kila kitu kilikuwa Charo Sasa naona Kizimkazi inapendelewa zaidi kuliko sehemu nyingine Tanganyika
Hili tamasha limefutwe halina tija
wameelezea madhumuni ya tamasha na historia ya tamasha kwani hilo tamasha likianza miaka mingi iliyopitaWamesemaje?
Na bado, hujasikia na dreamliner yetu mpya itapokelewa huko?Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia wanapelekwa kizimkazi kucheka na kutaniana wakati nyumbani Ngara watoto hawana madawati, vijana hawa ajira, hakuna hospital, maji ya kunywa n.k
Awamu iliyopita kila kitu kilikuwa Charo Sasa naona Kizimkazi inapendelewa zaidi kuliko sehemu nyingine Tanganyika
Hili tamasha limefutwe halina tija
ikipokewa zanzibar kuna ubaya gani? kumbuka zanzibar ni sehemu ya tanzania na wao wana haki sawa kama baraNa bado, hujasikia na dreamliner yetu mpya itapokelewa huko?