Kweli kabisa twendeni kizimkazi.Ukiona una miaka 40 na hauna hela usisingizie serikali
ChawaKizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia wanapelekwa kizimkazi kucheka na kutaniana wakati nyumbani Ngara watoto hawana madawati, vijana hawa ajira, hakuna hospital, maji ya kunywa n.k
Awamu iliyopita kila kitu kilikuwa Charo Sasa naona Kizimkazi inapendelewa zaidi kuliko sehemu nyingine Tanganyika
Hili tamasha limefutwe halina tija
bora chato ilikua inajengwa miundombinu, ambayo mtanzania yeyote akihamia kule ataitumia....Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.
Kuna hili tamasha linafanyika huko.
Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival
Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika.
Yaani watu mamia Kwa mamia wanapelekwa kizimkazi kucheka na kutaniana wakati nyumbani Ngara watoto hawana madawati, vijana hawa ajira, hakuna hospital, maji ya kunywa n.k
Awamu iliyopita kila kitu kilikuwa Charo Sasa naona Kizimkazi inapendelewa zaidi kuliko sehemu nyingine Tanganyika
Hili tamasha limefutwe halina tija
Kama kweli humjui Mdhamini wao basi nitaanza kuamini kuwa huenda Watanzania tumepumbazwa Fikra na Mwenge.Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu.