Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

Watoto wa Mama kizimkazi acheni tule Bata akisepa mjengoni shangwe baibai.
 
viongozi wa tamasha wamefanya mahojiano na azan tv jana asubuhi na kika kitu wameweka wazi
 
Na bado, hujasikia na dreamliner yetu mpya itapokelewa huko?
 
Inawezekana limeanzia Zanzibar,hakuna ubaya hapo,na mwaka kesho ni zamu ya Tanzania bara...
 
Kweli nimeamini duniani wawili wawili sio tu katika kufanana sura, basi hata kufanana mawazo, nimekua nikiwaza mawazo hayahaya kuhusu Tamasha la Kizimkazi- Kwanini? Faida zake?Kwanini viongozi wengi wa serikali wapo huko? Vipi wasanii wetu? Kwanini Kizimkazi inataka kuwa kama Dhifa au Sherehe ya kitaifa? Anyway, nataka kuleta uzi wa Kizimkazi nakutana na uzi wa Kizimkazi! Aah basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…